@chosenone_blog: #esmaplatnumz afunguka haya kuhusu suala la watu mtandaoni kudai kwamba #mamadangote kipenzi chake ni Mtangazaji wa kike #aaliyah Esma Platnumz anasema huenda damu ya Mama Dangote na Aaliyah zinapatana.

chosenone_blog
chosenone_blog
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 21:27:11 GMT
123704
9333
101
76

Music

Download

Comments

nilam.5633
nilam 5633 :
kwaiyo anamanisha zuchu alikua anamzarau mama dangote or
2026-09-10 21:59:13
191
buthalia_hussein
Buthalia_hussein :
Naomba tofauti kati ya kupenda na kujipendekeza
2026-09-11 03:24:09
47
hamyda.g.love
Hamyda.G.Love❤️ :
Bwana mawifi masnich kwenda
2026-09-10 23:17:48
114
esthershigemelo34
Tiffan🥷 :
unasema [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-11 08:42:49
0
ayshersungura2
Daddy's heart ❤️ :
kwahyo amygal nae 😳
2026-09-11 07:22:41
0
miss.etz
#Miss E 🇹🇿🇰🇪 :
em tuache mshatuvuruga yan
2026-09-10 22:22:56
25
nerei021
NEREI❤💜 :
Mi nilivyo siwezi kushobokea uwiiiii
2026-09-10 22:45:27
9
roch_viver
Roch_chengula :
msituchanganye bwana
2026-09-11 07:20:56
3
jimmyx09jimmy
𝑱𝒊𝒎𝒎𝒚 𝑯𝒖𝒃💚 :
ivi ni mama dangote au mama nasibu abdul dangote yupo nigeria
2026-09-10 22:45:11
6
its_sagaradimpozzfoods
Sagara dimpozz :
mm ninefocus huku.. nambieni esma kasemaje 😂😂😂
2026-09-11 06:30:14
1
getruda.juma72
Gedy cute 🦸‍♀️🧝‍♀️💘 :
Ni kwel
2026-09-10 21:57:04
6
marianakinawa
MarianaKinawa :
Wanataka tu mtoto wa mwanamke mwezio ajipendekeze, we kuweza
2026-09-11 05:59:12
4
iamneyjojkimby
am jojo og💎 :
Usitupangie bwana😁
2026-09-11 07:46:50
2
vpriscah
vPriscah :
Ni kweli
2026-09-10 22:03:57
7
its.sarah_tz
its.sarah🌿 :
anavyochukuliwa utazani raisi wa Dunia 🙌🙌🙌hakuna mtu anayependa zarau na ww,
2026-09-11 09:59:46
1
lilianikisaka
Lilian kisaka :
ni kwel
2026-09-10 21:49:29
9
.evelyne58
Evelyne :
nikweli
2026-09-10 22:21:11
3
hassanii61
user8836260005442 :
Mm nampenda Mama Dangote wallah nakumbuka siku ya birthday yake alikuja hospital wodi ya watoto akagawa vitu vingi huyu mama jmn Mungu Amlinde
2026-09-11 03:03:06
1
madoofrancis2
madoofrancis :
kwhy zuchu ampendi ma dangote?
2026-09-11 07:52:44
1
usermsagha2
mwai wa msagha :
ukijipendekaza unapendwa😅😅
2026-09-11 05:28:41
1
emyray21
Emmy Make-up 💄 :
😂😂😂
2026-09-10 21:52:42
4
juevany
juevany 22 :
2026-09-10 22:25:18
3
To see more videos from user @chosenone_blog, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About