@fanto.fariyum: #creatorsearchinsights Zanzibar Kwanzaa

Fanto
Fanto
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 21:40:49 GMT
37892
1543
251
213

Music

Download

Comments

rauhiya.juma
Lady Lily Grace 👑 :
zanzibar is the beautiful island of African 🥰🥰🥰🥰
2026-09-11 17:15:55
1
user3777295265572
Babe girl :
hii inaitwa ibu utaona wewe[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-12 07:46:14
2
lumpaney
lumpa :
I love you Zanzibar
2026-09-11 14:20:30
0
muzungu0349
muzungu :
km wewe ni mzazibar gonga like apa
2026-09-11 06:13:32
71
ahmedalrasmail0
ahmedalrasmail0 :
kwani Zanzibar ni nchi mbona haitambuliki hata kwa umoja wa mataifa
2026-09-11 05:09:55
14
husein.khan84
mbuzi bishoo🇿🇦🇿🇦🇿🇦 :
zanzibar ni nchi ?
2026-09-11 07:20:18
9
nicksonpendael
Nickson Pendael :
waislam bwana
2026-09-11 05:40:46
6
user4811361328871
Samson Mseo :
Treni za umeme zimegunduliwa hivi karibuni sasa sijui hizo treni walizitoa wapi?
2026-09-11 07:38:36
11
alikojr16
alikojr16 :
Sasa inatusaidia nn mzee wang
2026-09-11 08:40:04
3
ally.kimu7
A.K.Molejo :
hii history inasaidia nni ...
2026-09-11 05:22:24
4
kansela44
Kansela55 :
Hata binadamu wa kwanza Alitokea Tanganyika So tuache kutambiana na vitu vya ajabu jamani sisi sote ni ndugu hakuna m,bora kati yetu m,bora ni yure mwenye kumjua mungu🙏
2026-09-12 14:17:30
1
philipoherbert
Herberton tz :
kwahio mlikuwa na treni huku umeme mnatoa bongo.mbona sielewi?
2026-09-11 23:22:58
3
mchina323
it's FĀM SAVAGE🔥 :
kwani Zanzibar ni nchii
2026-09-11 13:44:31
2
iamrashid10
Yamaguchi👽 :
Sheikh sote ni wamoja ila sheikh hivyo vitu vyote vilikuwa vya wakoloni sio sisi waafrika
2026-09-11 12:11:54
1
cleverman_kbear
cleverman kbear jr :
huyu jamaa hajatupga hpa
2026-09-12 11:13:11
0
user3482429109749chila
user3482429109749chila :
huu umeme ulitokea tanganyika au?
2026-09-11 10:18:50
0
kazinja6
kazinja :
Zanzibar ni nchiii😳
2026-09-12 00:20:30
0
maria.44440
zanzibar ❤️ :
❤️zanzibar ❤️
2026-09-10 22:56:56
6
user7497661906120
isihaka :
sio kweli na kampeni iliyobaki Zanzibar ni kuitukuza Zanzibar kusifia usultani ,, hizo zinawasaidia Nini mawazo ya kuitumwa,,
2026-09-11 18:21:39
0
justinhabonimana18
justin habonimana :
Zanzibar ni inchi??
2026-09-11 08:25:00
0
said.wangubo.astar
Said wangubo astarco :
mwmwee
2026-09-11 21:21:04
0
bennymushi5
Benny mushi :
hiyo tren ilikua inatumia sola au
2026-09-12 01:21:13
0
matimbwa_jr19
matimbwajr :
kwahy kujiunga na tanganyika nd kumewachelewesha
2026-09-11 20:05:34
0
muhammadaliy6800
BIG MUU%6800 :
ila kuna watu wanaumia sana wakitajiwa zbar ni nchi ila tunajua mzee karume karubuniwa na nyerere mpk zbar imekosa mamlaka yake kwaiyo wanaona km ni mkoa tu huu😁😁
2026-09-11 14:43:33
0
barakapeter06
baraka peter :
So what?
2026-09-12 08:44:31
0
To see more videos from user @fanto.fariyum, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About