Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😄😄
2026-09-11 20:13:28
4
iamrichtinah :
next
2026-09-11 13:21:50
3
sophy :
ila mume wagigy akivaa kanzu anapendeza
2026-09-11 10:39:11
5
Mariam Mchome :
mume kapata kwakweli leo nae katoka kwenda shuhulini adi raha
2026-09-11 11:08:21
4
zujaty :
nakupenda sna gg Yan napenda sna unavompenda kaka yangu
2026-09-11 09:34:33
1
beta💝🍫 :
shema yupo kimya kwer ishin maisha malefu
2026-09-11 13:55:08
2
Mariam Mchome :
nimependa gigi umependeza mnoo mashallah na mumeo adi raha
2026-09-11 11:07:19
3
mrssaid :
mashallah🥰 umependeza Mrs tariq
2026-09-10 22:51:54
3
Liza liza :
gigy uyo
2026-09-11 04:27:35
2
hawaa :
mume kappa adi raha
2026-09-11 10:32:11
1
jovanesjosephat :
Mungu awape maisha marefu nimewapenda bule 🥰🥰
2026-09-12 09:25:09
1
it's me🛍 :
shem jmn kapoa
2026-09-11 08:35:01
2
mariam shaksi :
gigy
2026-09-11 05:04:03
2
To see more videos from user @binaupdates, please go to the Tikwm
homepage.