@rahma_daudofficial: Mungu yu ndani yako {Akili yako} Mungu amekuwa {Ujinga wako} Hakuna Mungu uchawi tu na kudanga {Upumbavu wako}. Karibu mezani ujifunze yote yanaweza kuisha kwa wewe kuamua tu. #Rahmafacebeat #foryou #fyp #fypใทใviral #bittertruthofoursociety
hii nayo n kweli. God has been faithful to me. Alhamdullilah Alhamdullilah ๐คฒ ๐คฒ
2026-09-11 01:36:47
20
_rich aunt 91๐ฐ๐๐ซ :
thanks sister ๐๐๐๐
2026-09-11 08:33:51
0
๐ฆ๐ฆd@y@n๐ฆ๐ฆ :
yaani ukikaa vizuri na mungu unakuwa na furaha tele amani moyoni upendo usio na kikomo utajua mabaya ni yapi mazuri ni yapi na huyo ndo mungu jamani mungu ni mzuri sana sana ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-09-11 07:05:41
17
maureen sila :
very true
2026-09-11 07:43:13
0
kidamohammed :
da rahma una miakili mingi sana maashaallah..
Allah akuongoze zaidi
2026-09-11 06:53:45
9
Fahady joseph :
real big sister that happen to me
2026-09-11 03:55:24
2
leahmollel2 :
Ndio Man Nmeamuaga kukufoloooo Dada una madinii Kikubwa Tukae Vizuri Na MUNGU
2026-09-11 06:46:35
3
Elvis gare :
ujambo my sister ๐น๐น๐น
2026-09-11 00:36:20
1
Ester Sweetbert :
Asante mdogo wangu umenijenga Sana barikiwa Sana m/mungu akutunze uendelee kuwajenga na wengine
2026-09-11 10:08:54
1
hadija simati :
kweli dada wangu amen
2026-09-11 06:35:28
3
Tishi Kimwaga :
kweli kabisa
2026-09-11 05:16:55
3
user8062484614993 :
ukweli mtupu
2026-09-11 04:10:22
5
Nagenzo Mamu :
Mama wa akili mingiiiiii๐ค๐ค
2026-09-11 05:54:13
3
Danella โค๏ธ :
thank u ๐๐ฅฐ
2026-09-10 23:47:29
0
Dorothea Salustian :
kwel dada
2026-09-11 05:35:29
2
Baraka ๐ :
nakupenda san dada ila kwanin tusifungue hata group la fikra chanya elimu niushauri tu
2026-09-11 07:42:48
2
Yustina sng๐๐ฝ๐๐ฝ :
Kweli kabisa my
2026-09-11 05:32:56
4
marryabdalla :
umesema ukweli mtupu kabsa mwenye akili kakuelewa
2026-09-11 07:05:24
2
NANA๐ :
Hapo na agree na wewe kabsa๐ซต๐ป๐๐ผ๐
2026-09-11 05:55:37
2
user7772337327816 :
we dada wewe Mungu akuwekeeeee miaka mingi yenye heri
2026-09-11 05:29:45
4
bibah :
Mungu akubariki kwa kutupa elimu....Nikweli kabsa watu hawangali utu wanaangalia kitu...dawa nikuweka mipaka na watu
2026-09-11 05:56:27
3
TINAROGAT :
Letโs goooooooooโค๏ธ
2026-09-11 03:45:45
2
Claudia :
kabisa mungu nihurumie nipiganie nisaidie maishani niongoze kila dakika
2026-09-11 08:14:46
1
kauthar :
mashallah hongera kipnz
2026-09-11 04:45:12
2
To see more videos from user @rahma_daudofficial, please go to the Tikwm
homepage.