@dahlia222112: masyaallah

dikka cell
dikka cell
Open In TikTok:
Region: ID
Friday 11 September 2026 00:21:47 GMT
155630
11790
192
86

Music

Download

Comments

omarysingano533
Omary Singano :
watu wana iheshimu sana dini kwetu nchi imejaa unafiki tu jamaa heshima anayopewa huko n kubwa sana njoo kwetu sasa watu hawana time naye Allah akulinde na kila husda QAri
2026-09-18 03:59:20
121
shaymaa.mima
Shaymaa mima :
Ma sha Allah uko wenzet wanathamin mno din Mpka kapewa mke mrembo ma sha Allah 🥰🥰🥰
2026-09-17 01:16:17
86
user17855685817174
mwana :
Kutoka kondoa hadi Indonesia 🇮🇩 karibu saan wifi Tanzania 🇹🇿
2026-09-17 06:30:22
33
tatushante
Tatu Shante :
vipi kuhusu lugha wataelewana kweli kiindonesia na kiswahili kweli
2026-09-24 18:17:07
7
mshirazy.harith
Mshirazy Harith :
Na mm sina muda naenda Indonesia 😂😂😂😂😂😂
2026-09-17 17:57:53
4
neyshedy8
neyshedy8 :
sasa hii post MBONA hatuoni waindonesia wakikomement, tumejaa sisi Mashaallah ❤️❤️❤️
2026-09-24 13:34:05
3
ostadhubaida0
ubaida :
ngoja nijifunze kindonozea kwa matumiz ya baaadae
2026-09-27 07:35:26
0
mlingga22
Muhammad lingga :
assalamualaikum barokah orang talaga mah kedatangan syekh fardan 🙏🙏🙏
2026-09-12 05:18:29
20
user21048269448211
Haizuru :
Allah atawahifadhi ikiwa qur an ndio iliyo waunganishi had kuw mke na mume amiiiin
2026-09-24 07:25:44
10
user2717051074606
Iddi M Lila :
Walahii ndo nimeamini faridani kaowa Indonesia mashaala Allah awahifadhi ktk ndoa yao inshaala
2026-09-26 12:17:51
2
akili095
user5499097399142 :
saiv watu wa dini ni muhimu sana katika hii dunia licha kuwa wanapigwa vita
2026-09-17 10:57:56
26
biubwabiubwa327
Daubah hennah&makeup fashion :
wenzetu hawa mtu akiwa nadini tu basi kwaonimuhimu kuliko kituchengine .huyu atamtunza kwasababu ajuwa maisha yauswahilin kwetu mara mawifi wambeba kumpigisha umbea
2026-09-24 19:55:06
4
haifatymohar
💞Haifa💕313💕 :
nchi yenye dini ulimwengu mzima basi ni Indonesia
2026-09-24 08:05:37
3
abdulalmazroui
abdulaziz Al-mazroui :
huyu kijana kutoka Tanzania 🇹🇿 masha allah
2026-09-17 17:28:48
9
user5738547744860
FATIMA :
ostaz mpe dua kidg mtot wetu
2026-09-16 20:44:33
6
friji.used
friji used :
mashaallaha kweri kuruan haikutupi kbisq mashaaallah
2026-09-17 04:48:39
12
t..shop.pointer
T.shop pointer :
ukimpenda atakupa upendo kutoka kwa waumini wake ndo hii
2026-09-17 16:57:46
6
hans_7244
Hans_ :
Mashaallah..ALLAH anatulipa hapahapa tunayoyatenda.Ostadhi kapata heshima kubwa sana sababu ya Qur'an tu.ALLAH AWAPE MAISHA MAREFU YENYE BARAKA NA KIZAZI CHEMA AMIIN.
2026-09-17 09:07:11
8
ally.alsharawy
Ally Al-sharawy :
kaka yangu wakati huo anatoma madina na kuingia Indonesia ndo watu weusi wa mwazo kuingia basi walikua wanamkamata mkono na kujaribu kupangisa ili waona rangi yatoka ila baada kutoa shajara yake inayoongoza mpka kwa sayyidina Ally bin Abdulmutwalb wakawa wanamuheshimu sana hawa watu wanapenda sana watu waloshikana na dini maashaallah hawna majungi mm ndo mm.
2026-09-25 17:35:09
2
swaumuabuubakar
chimamy :
Indonesia ndo nchii pekee naipenda
2026-09-17 13:33:51
5
hadingoka0
hady :
ma shaa Allah
2026-09-17 16:02:53
3
hadia1816
hadia :
Mashaallah. ndugu yetu katuwakilisha vema sana Allah akuhifadhi
2026-09-18 06:19:31
3
alhaj.qassim
Alhaj Qassim :
Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
2026-09-17 00:36:47
4
dullypweza
Dully pweza :
Allah akuongezee badala
2026-09-17 18:26:38
3
maryamjenneby
Maryam Jenneby :
mabrouq Alf mabrouq..May Allah bless your union..aameen
2026-09-17 16:47:25
3
To see more videos from user @dahlia222112, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About