@bffwagigymoneyog1: @officialzuchu na @Gigy Money kwenye usiku wa hinaa mambo ni yamoto wasanii katik hali ya upendo ❤️❤️❤️📌📌🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Gigy money back up
Gigy money back up
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 01:16:22 GMT
188069
19454
274
81

Music

Download

Comments

vimama.babe.g
vimama babe g💖💝💞💞 :
Yan me napenda kuona watu wanapendan
2026-09-11 07:13:47
317
rosekibatalar
Sey. 💗💗 :
mnapendez San vipenzi vyangu ..Masha Allah
2026-09-11 11:00:33
41
mrs.g744
baby shuu😜😜😜 :
Leo ndio nimemuona gig vizuri kumbe ni mrembo hivo
2026-09-11 15:07:09
108
tifahchaula95
tifahchaula95 :
kwan masha yuko wap au niache kujiamulia mambo🤣🤣 ajaona uku gig na zu
2026-09-11 06:20:36
63
hadijayusuph440
Hadija Yusuph :
mashaaaa upo wapiiiiii njooo uone uku kumechangamka
2026-09-12 13:59:14
10
nanaah.officiol
💦Nanaah Officiol🍏🍏 :
mmependeza sana vipenzi vyangu[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-11 01:29:25
33
shery42698
s h r :
nimeona pete ya ndoa ya Gigi
2026-09-11 02:07:01
80
dukanjiran
madam vee :
jmn gig ananepa kweli ndoa tamu hasa mkiwa mnapendana
2026-09-11 03:56:06
16
irerairene615
Irera Irene :
gigy tangu awe mu islam amekuwa na nutu jamani Allah awalinde unapendeza ivo ushilikiano. da duuuh ongera naona njo walima yote💞💞💞💞
2026-09-11 02:25:59
13
user157335897
c*fahari :
mi nawapenda maana hawanaga makuu na mtu,Mungu awalinde na vijicho vya husda🥰🥰🥰
2026-09-11 17:08:33
3
jujuu.mehmety
jujuu mehmety جويريه :
gigy kakuwa saivi 😂😂😂isitoshe wasanii hawa kuwa pamoja raha sana hasa wakikee
2026-09-12 13:07:45
1
finny6830
@Official_finny🌬️ :
wote wameolewa mashallah
2026-09-11 11:03:15
1
fidhemsouth2
FIDHE~M2SAFI🎬Actr :
10/10 mkuje
2026-09-11 04:10:36
1
user32425381461945
aziza pera :
da gig ongera una baya nakupenda sana my
2026-09-11 03:11:32
16
maheerjaynah
Jay @123 :
cijamuona Paula na marioo
2026-09-11 08:37:13
6
fadhila.salim1
Fadhila Salim :
Nampenda sana.Gigy mzungu sana 🥰🥰
2026-09-11 15:05:38
1
nayrah.ww.tktk
JASMIN AHMEDY :
ndoa ndio heshima wallah Hadi raha
2026-09-13 03:51:44
2
user30785427469673
Tara :
mme pendeza sana nawapenda jamani
2026-09-11 17:33:47
3
judynuthepk
judy :
Giggy ndoa imemkubali mashallah naona kwamwli kanabza kuingia mahali pake🥰🥰
2026-09-12 02:35:49
2
fasinashabuu
Fasina shabuu :
fay kajisikiaje hapo😂😂
2026-09-11 16:25:51
1
sabrasrrg9c
ummy nay :
uo ucku wa Hina ndo inakua wa Kaz gan au lbda kwa advantage gan
2026-09-11 17:14:04
0
mwanahamis008
mwanahamis :
🥰
2026-09-11 01:37:57
1
fatmaphatma98
fatmaphatma98 :
Masha lavu najua kiazi kimemkaa kooni[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]akiona Kipenz chetu Da Gigymoney na Zuchu
2026-09-11 15:05:39
2
merrymuna668
💃fifi💙 :
nimefurah san kumuona gigy na zuchu 💋💋💋💋💋💋
2026-09-11 15:24:52
2
user5092397791933
asha rashiid :
mansh Allah gigy
2026-09-13 20:56:35
1
To see more videos from user @bffwagigymoneyog1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About