@frankmavura: SIFA 10 ZINAZOZINGATIWA NA WANAUME WANAPOCHAGUA MKE WA KUOA ❤️💍 Sio urembo, umbo au sura pekee. Mwanamke wa kuoa anahitaji kuwa na sifa zinazoweza kujenga ndoa yenye amani, heshima, uaminifu na upendo wa kudumu. Katika video hii tunaangalia sifa muhimu za mwanamke anayefaa kuwa mke, mambo ambayo mwanaume anaweza kuzingatia kabla ya kuoa, na tabia zinazosaidia kujenga ndoa imara na mahusiano yenye afya. Je, kwa maoni yako, ni sifa gani muhimu zaidi kwa mwanamke anayetarajiwa kuwa mke? 👇🏾#mahusiano #ndoa #Relationship #mapenzi #frankmavura
Frank Mavura
Region: TZ
Friday 11 September 2026 02:29:06 GMT
Music
Download
Comments
🌸Ur fav🎧🧿 :
Shida tukiwa hv wanatuchukulia poa 😏sana
2026-09-11 04:57:59
75
Maria🍂🌹❤️🩹🇹🇿 :
Kwenye kuthibiti hasira Jmn, niongeee kwa kusimama😂😂😂
2026-09-11 09:00:40
19
kian boy@ :
Natafta comment ya ex wang [Big LOL][Big LOL]
2026-09-11 06:32:29
0
SHABANI STORE :
Nimesoma comment zote
2026-09-11 04:54:32
0
marry :
❤❤❤❤❤❤
2026-09-11 05:36:45
4
Sarah Masaka :
Natamani mwanaume kama ww❤️🤣🤣🤣🤣
2026-09-11 06:06:10
6
Irin....❤️💫 :
Juzi tumepishan akauli na mpenz wangu badala tuongee mambo yakae sawa akaanza kulia na kwenda chumban akalala na kujifunika nisimuongeleshe hii tabia sikuipenda niliona bado ana uwezo mdogo wa kutatua mambo so ngoja niendelee kutulia
2026-09-11 04:32:01
7
Humphrey muchende :
Thanks you am really preparing my girlfriend with Guiding you give me and really appreciate and hope she will be my future wife,me naangalia heshima na upendo wa dhati
2026-09-11 02:37:44
6
@mccoyali27 :
first nagaliaga shape urembo
2026-09-11 08:07:15
1
hellen :
hizo zote ni nzuri umesahau Moja y muhimu anaye mwamini mungu n mwenye hofu y kufanya makosa kwa makusudi.
2026-09-11 06:28:06
16
Pharm.Joreen :
Hayana formulaaaa if your the one your the one msijichosheeee
2026-09-11 07:06:12
2
lux ❤️ :
mimi ni mshabiki wako huwa nakufuatilia sana lakini mapenzi ya kwenye stori na reality ni vitu tofauti kaka yangu
2026-09-11 07:23:07
6
da huzayma :
anaye nijali na kuniheshimu 🥺
2026-09-11 09:33:08
2
MR LIQUIDITY📈 :
Mimi wangu tupo kwenye mahusiano, nikamjaribu tu kuwa kabala sijakutananae nilikuwa na mahusiano na mdada mwengine kipindi nipo chuo na tulioata mtoto, then nikamwambia yule dada nilie zaa nae ameolewa hivyo mtoto anatakiwa aje Aishi na Mimi baba ake, kagoma na kavunja mahusiano bila kujua Mimi nilikuwa namjaribu nione anaweza kuthamini watu wengine tofauti na mimi😂😂😂
2026-09-11 06:09:27
1
baby m.G :
Ebu niambie haraka maana me nakutaka wewe🥰
2026-09-11 12:35:04
0
DARK ROCKY :
mim wangu anazarau hanitii hanieshimu nimemwelekeza miaka miwili lakin Bado na Sasa na mwacha mana ananitia matatizon
2026-09-11 07:05:39
0
Baby_Dii🦅 :
shukrani
2026-09-11 05:58:39
1
@promax✨ :
hekima
busara
upendo
utii
heshima
2026-09-11 07:11:52
1
Ramadhan :
mm awe ananisikiliza broo👍
2026-09-11 05:10:36
3
Denning, LJ. :
Hizo ulizo taja ongeza na Mwenye hofu ya Mungu & AKILI (Both ya Maisha na Darasani) na Mwenye mvuto.
2026-09-11 07:52:00
1
Baby_Dii🦅 :
mwanaume mwenye msimamo na kujielewa sio rimbukeni kila kitu mtandaoni
2026-09-11 06:01:40
1
Kulthum berway :
yote cna maan nilichokifny nipen kitu nikae
2026-09-11 05:10:35
1
Butterfly♓👑🩵 :
shukrani
2026-09-11 04:45:17
1
To see more videos from user @frankmavura, please go to the Tikwm
homepage.