@sheikhmaskari1: Tafuta Barka kwa kuanza mambo yako mapema asubuhi ikiwa ni kazi,biashara,ibada,kutafuta elimu... swahaba sakhar al ghamidi(aloyepokea hadithi hii) alikuwa aanza biashara zake mapema allah akamilia barka akawa tajiri mkubwa... #foryou #fyp #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #oman