@secadventist: 🌿 SABATO NI ZAWADI YA KIPEKEE Sabato ni zawadi ya pekee inayotupa nafasi ya kutulia, kuweka pembeni mahangaiko yote ya wiki, na kurudi mbele za Mungu wetu kwa moyo wa shukrani na unyenyekevu. 🙏 Ni wakati wa kuhuisha nafsi zetu na kukumbuka kuwa thamani yetu haitokani tu na kazi tunazofanya au mafanikio ya mikono yetu. Tunathaminiwa kwa sababu tumekombolewa na Yesu, na upendo wake kwetu hauna mipaka. ❤️ Sabato njema! 🌿 #MamboYoteMapya #Tumainilinaanziahapa
nimerudi nyuma sana naumia natamani kunyanyuka tena ila sijui nini kimenikandamiza🥺 wakati familia yangu ilibadili kutoka jpl kuja Sabato kwa ajili yangu Mungu aniinue tu tena jamani😢
2026-09-11 12:22:14
2
wise girl💕 :
happy sabath dear brethren
2026-09-11 11:06:48
0
Roda :
ameeeèe
2026-09-11 12:45:37
0
Ndaro MG :
Happy sabbath
2026-09-11 09:48:29
0
Anna Charles :
MUNGU atusaidie tuweze kuitunza sabato
2026-09-11 10:40:46
2
van king👑 :
one voice
2026-09-11 09:42:01
0
hilloson :
mungu atusaindie tuituze sbat
2026-09-11 12:25:33
0
Salma Ss :
mungu wetu atusaidie tuweze kupokea vyema mgeni wetu sabati🙏🙏
2026-09-11 12:06:23
0
swaum :
amina mtumishi
2026-09-11 12:58:22
0
Mama G :
Amen
2026-09-11 12:48:47
0
Eva Enos :
amen kipenzi
2026-09-11 10:33:53
0
am-vela🎀💝 :
Amina 🙏🙏🙏
2026-09-11 10:07:28
0
user6982138658781 :
amen amen 🙏🙏🙏
2026-09-11 13:10:49
0
Penina Kiinji :
amen
2026-09-11 11:33:18
0
Da shasha :
amen
2026-09-11 10:43:18
0
MPUNDU :
amen amen 🙏🙏🙏
2026-09-11 11:47:46
0
ingabilerachel200🦋🤍💙 :
amina 🙏
2026-09-11 05:05:43
0
Sara Paul🙏 :
Amen
2026-09-11 05:42:14
0
Debby :
Amen kipenz
2026-09-11 09:31:57
0
baraka :
amin
2026-09-11 13:23:58
0
JOSPHAT Kambale :
amene
2026-09-11 13:48:09
0
official vee :
[Pray][Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-09-11 12:27:04
0
Aimerance Makasi :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-11 12:16:27
0
annasikany :
🥰🥰🥰🥰
2026-09-11 12:24:12
0
To see more videos from user @secadventist, please go to the Tikwm
homepage.