@kadomediatz: 🙄🙄🙄🙄🙄 #diamondplatnumz #Tanzania #kadomediatz #viraltiktok

KADOMEDIATZ
KADOMEDIATZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 05:11:09 GMT
93936
6867
447
228

Music

Download

Comments

damiani126
Ra🫂❤️ :
ameongea kwa uchungu sn msamheni jmn
2026-09-11 05:57:17
363
999kimuge_
999kimuge_🇰🇪 :
insurance ya bodaa haisaidii hyo Toyota bana
2026-09-11 08:07:14
0
jinja9329
jinja😈😭👿 :
Huyu mzee ana hekima xana ,God bless him🙏🙏
2026-09-11 06:50:33
112
fritz.l..f..cynwa
Fritz 💥L. F. C❤YNWA :
I feel pain🥲
2026-09-11 08:17:07
0
cutie_reney
cutie_reney💃 :
I'm so emotional
2026-09-11 07:46:39
0
mariam.shaksi3
mariam shaksi :
naomba asamehewe kama hamuwezi msamehe basi weka namba watanzania tuamchangie bwana
2026-09-11 06:08:34
183
boazmogha1
Blessed Boaz💯💰 :
msameheen jamen
2026-09-11 07:28:37
0
itsanastazia1
ItsAnastazia :
Mungu mimi nasubiri naomba Ukumkumbuke huyu baba😭😭
2026-09-11 06:56:09
135
chosen.one2683
chosen one :
ingekuwa ni mimi ningemuacha hata siwezi kumuuliza...
2026-09-11 06:19:06
86
user1076318435094
fatima :
Oooh jmn msamehen tuu
2026-09-11 06:04:16
95
user9855342776911
Maria Baby :
Roho yaniuma uyo baba anavo ongea kwauchungu daaah natamani ningekua tajiri mimi jamani
2026-09-11 06:18:48
66
rita.tito55
Rita Tito :
yohoo inauma
2026-09-11 07:23:26
0
silviamaumba
silviamaumba :
have mercy on him jmn
2026-09-11 06:45:55
0
deoamani3
Deo Amani :
asamehewe huyo ni mkweli
2026-09-11 06:04:03
27
peoples335
people's :
kwa tukio linavyoonekana na kwa alichokisema na muonekano wake ningekua mimi ningemsamehe tu.
2026-09-11 05:58:34
93
rayna4430
rayna :
mwenyez mungu mpe ridhki uyu baba🙏🙏🙏
2026-09-11 06:49:12
49
sporaelisante368
Spora Elisante :
maskini .mwenzangu jmni daaaa
2026-09-11 05:50:28
45
user9417482269370
mobady@ 023 :
hii ni ajali kazini Dua sana kwa Mzee wetu apewe msamaha
2026-09-11 07:01:27
5
rosegasto
Mama G's Cakes :
katengenezeni gari huko mwacheni baba wa watu
2026-09-11 07:09:33
12
dalili.furaha
siria :
Na apo mwenye gari angekua na uruma amsamehe 2
2026-09-11 06:19:03
20
fatmatunny
Fatma de cute :
yaan had nimelia
2026-09-11 06:37:02
26
a22lu1
esh :
duh baba zetu wanapitia mengi sana kuhakikisha familia isipitie wakati mgum 😭 mungu awabariki wababa wanao jitowa muhanga katika familiazao
2026-09-11 07:07:28
13
nelsonmahinya7
Vonex building $ construction :
kaongea kweli na vizuri ,ni kwelu kafanya kosa la kutokukusudia ni hali tu ya barabarani mungu ni mwema sana msamehen tu tunaomba
2026-09-11 06:02:35
27
mgabo89
masala gabo :
Yaani binadamu tunajari vitu kuliko utu..
2026-09-11 06:28:48
10
To see more videos from user @kadomediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About