@shimadege_: Jamani Nasoma Comment Kwani @MZEE SIPANDILE Yuko Sahihi?

Peje Kisima
Peje Kisima
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 05:53:52 GMT
51877
3628
207
151

Music

Download

Comments

michaelseko747
Michael Seko :
hhaaaah Sipandile Namhala M,wichane Lekaga Enyalele
2026-09-12 13:23:36
0
johnnymbitiyaza
Jn M'bitiyaza :
Mzee Sipandile😂😂😂 Fundi sana
2026-09-14 17:41:33
4
sitta.and.six
SITTA......NTIMULIZI :
Hahahaahahahahaahahaaaaaa Peje na sipandile
2026-09-11 11:16:56
1
rich.man446
rich man :
kila nikiingia mtandaon naanza na hii komedi nd niendelee kuangalia vingine
2026-09-11 15:40:04
19
user3727661366330
Bahati Mashoba :
hapana mzee wangu hauko sawa kwa nyakati tulizonazo kumuongoza mtoto kuoa sehemu ya familia nzuri nyumbani ni jambo jema ila lazima na yeye aone kama anamfaa,lakini pia kuhusu mtoto kukaa nyumbani huku umemsomesha na kumuandaa vizuri ni ngumu sana kuishi nae labda kama ataoa wake wawili mmoja anayetakiwa na wazazi kwa lengo lao na mwingine wa ndoto zake na chaguo lake litakalomfanya awe na amani ya moyo wake iko hivyo tu
2026-09-11 10:39:21
6
user6103397961561
Bariki :
mzee spandile unanifanyaga cm yangu iishiwe chaji [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved].
2026-09-11 06:43:43
1
jjbhvcccxxzzssdnjjnn
makula bhahege :
peje
2026-09-19 16:12:13
1
musanoely413
Musa noely :
ila hene peje 😂😂😂😂
2026-09-14 06:24:17
1
emma54632144
@Emma.29 :
mmetisha wakuu mzee shipandile yupo sahihi 😅😅😅
2026-09-11 14:41:24
4
user2228812128105
Stella jeseph :
nashindwa kuelewa kaliaaaa kaliney
2026-09-11 10:45:31
1
chard9659
chard :
ila ww mzee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰
2026-09-11 06:35:52
2
masonga48
BABA LOVE :
huyo jamaa anaweza sana
2026-09-11 10:39:56
3
kb72630
KB :
kazi nzuri
2026-09-11 13:37:09
1
mapuli27
mapuli :
🥰 nice
2026-09-21 18:28:34
1
neema.mayega
Neema Mayega :
nakubari kaka peje
2026-09-11 09:22:11
1
user8118255050565
sweya ndaki :
jipandile 😁😁😁😁
2026-09-16 18:07:59
1
7723416618740zaburoni208
zaburoni williamu208 :
mipini sawa kabisa
2026-09-11 16:24:32
1
rich.man446
rich man :
mbn unachekesha mzee sipandile
2026-09-11 06:18:42
3
fantana087
MY HAPPY0627 :
🤣🤣
2026-09-11 07:08:14
1
neema.mayega
Neema Mayega :
kucheka
2026-09-11 09:21:34
1
user3599241063979
Stevenshimbe :
napenda jamaa njia alochukua safi sana
2026-09-11 08:45:15
4
dottochacha502
Dotto :
umetisha peje ngosha mjanja god bless 💪💪💪💪
2026-09-11 08:20:40
2
malange5823
mtoto J4 KATORO2 :
Huyo mzee sipandile ananifurahish sana😂😂😂
2026-09-11 10:15:08
1
cravely29
cravely :
mzee nimekuelewa sana leo
2026-09-11 20:45:23
1
edwardshigangamte
Edward shiganga :
ila wewe zipandile niwanoma sana unanichekesha sana nitakuja malya trh 16kwa kisima.
2026-09-13 05:30:59
1
To see more videos from user @shimadege_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About