@pubg.games08: kwer nimesikiliza i ii history ya wagogo mbaka nimejua walianzia wap ๐๐๐๐๐๐๐๐ sio unakuwa mgogo hujui wametoka wp
Inamaana waburunge na wasandawi walikuwepo kabla ya wagogo kwanni wagogo waje kuwa kabila kubwa
2026-09-11 08:16:41
6
chinyali kush :
uongo
2026-09-11 09:31:27
4
l_lo24 :
Huijui historia ya wagogo
2026-09-12 11:53:41
1
๐ฆAggy bby๐ฆ๐ผ๐ :
historia haieleweki ata
2026-09-11 13:21:41
3
Madam Marry :
Hii historia tulifundishwa darasa la nne mwaka 2005 na mwalimu mbijima kwenye maarifa ya jamii kwenye historia za makabila dah mpaka nimemkumbuka mwalimu mbijima sijui yupo ๐ฅฐ
2026-09-11 18:56:12
5
MRS๐ฆkm๐ฆ :
em mtupumzishe wagogo bhn kuongelewa hatutaki
2026-09-11 16:44:55
3
Matayo mganga 88# :
baba honamwana yakurira sana kohurika unyamare jidu wangu chiriwarawa takama kwawakukuzo nawamamazo wakureche mwiri upore yan tumetoka kusini iringa
2026-09-11 15:02:41
3
Bruno mwaisa :
kwahy sisi wa hombolo co wagogo au unamaanisha nni ๐
2026-09-11 13:05:27
1
Leah :
asante kwa kufundisha
2026-09-12 14:52:34
0
WA_MAKOJAA :
siyo
kwerr
2026-09-12 03:20:07
0
JoyyJoh :
kama mimi nilisika histolia ya kwetu sisi ni wa chatiila walikuwa ni wawindaji walitokea kenya
2026-09-11 12:38:11
1
๐ธ๐๐๐ธโ PUBG GAM๐ธ๐๐ช๐ช :
umeelewa
2026-09-11 07:50:23
2
aksalupande :
nikweli kabisa baba angu nikimuuliza anasema sisi tumetoka iringa
2026-09-11 10:28:59
4
newyear :
Mwisho wa siku wanyamwezi ni watu wa maana kabisa. Wamezaa kabila la Wasukuma na Wagogo pia.
2026-09-11 18:28:00
2
Masaka :
mm historia yangu, mkazi wa Manyoni lkn babu zetu walitokea iringa, Walikua wawindaji na aliitwa Mbalama. hivyo ilishabaki stori kuwa tumetoka iringa lkn tunazungumza Cigogo cha wanyambwa
2026-09-12 08:53:06
0
๐ผ Vidy Visy ๐ :
hakuna ukweli ila tumejitaidi kukuelewa kiasi
2026-09-11 10:32:48
0
Stella Andrew :
waooo
2026-09-11 20:06:27
0
Joyce Jpeter :
Ale sande chahulika
2026-09-11 15:00:53
0
๐นAnna Bae๐ :
a
๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-09-12 01:08:01
0
papaaadangote :
haya wagogo wenzangu tujuane
2026-09-12 16:56:48
2
barakamallo :
Kama kuna ukweli hivi kwa mbaali kwenye hii story๐
2026-09-11 16:39:16
0
d2 :
Wangoviya
2026-09-11 15:57:30
0
โMama Geeโ beauty point ๐ :
Wagogo wengi ni wahehe mtake msitake
2026-09-11 10:30:31
5
To see more videos from user @pubg.games08, please go to the Tikwm
homepage.