@cwgchiwaga: Maajabu ya Dunia yamejitokeza nchini Argentina baada ya bahari kuwa kavu Kwa sehemu kubwa ya eneo lake katika Hali isiyo ya kawaida na kumpelekea kugomga vichwa VYA habari.

CWG DIGITAL
CWG DIGITAL
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 06:07:40 GMT
122758
5140
240
201

Music

Download

Comments

tinnytz
Kono la ajabu🤼‍♂️🤸 :
tusome sayansi hata kidogo jamani sio kila kitu ni adhabu za Mungu, Mungu wetu sisi ni Mungu hatoi tu maadhabu kama mnavyodhani, kuna kitu kinaitwa LOW TIDE AND HIGH TIDE, LOW & HIGH TIDE utokana na mvutano mwezi na mchango wajua kinachoendelea hapo ni LOW TIDE ambapo maji utoka kutokana na mzunguko wa dunia kuna sehemu mvutano wa mwezi na jua unakuwa mkubwa kwahiyo maji utoka katika fukwe baadhi kwenda kujaza sehemu nyingine ambapo pia iyo sehemu mawimbi yanaweza kuwa makubwa na maji kujaa kwenye fukwe zake kwahiyo maji hayapotei ila uwa yanatoka kwenda kujaza bahari sehemu nyingine kutokana na mzunguko wa dunia na mabadiliko ya hali ya hewa pia uchangia, Mungu wetu anatupenda sio Mungu wa maadhabu kwenye kila kitu, vitu vingine ni sayansi tu ya dunia tunatakiwa kuielewa..
2026-09-12 15:16:38
58
zacknation.com3
zacknation.com3 :
Huu ndio muda wa kuuza viwanja
2026-09-12 15:13:18
33
user114423455918
No matter :
Maji yame jikusanya kwa ajili ya elnino bongo🤣
2026-09-12 17:20:26
27
aryborn
user4921157175675 :
wakate tu viwanja watu wajenge
2026-09-11 16:04:36
25
fidelis318
fidelis318 :
Beach prot
2026-09-13 07:36:47
1
itsme_tz1
it's_hunner Jr 🦋💕 :
sasa kama Dunia imefika mwisho sisi ambao hatujaolewa ndy hatuolewi tena jmn
2026-09-12 21:51:44
6
john_avicii255
John Avicii :
There's calm before the storm
2026-09-13 14:06:04
1
stony_wisdom
stony-wisdom@ :
run run run
2026-09-12 13:03:37
3
sk09electronics
SK09-ELECTRONICS :
Hayo maji yaliyotoweka Argentina yamekuja Singida
2026-09-12 16:58:35
7
maniarrichson
maniarrichson :
Nawaambia kuna gharika inakuja kuwafunika hamtaelewa. Hayo maji yatakuja kurudi ghafla kwa kasi na yataleta madhara makubwa.
2026-09-11 09:17:49
18
plasidymhaya88
Plasidy Mhaya :
Ni AI kwa sababu kama ni bahari meli ingeonekana iko shimoni kwa ajili ya kina cha bahari sasa hapo oanaonekana flat na meli imo jirani ni uongo.
2026-09-11 22:50:24
10
samuelshashanga
Samuel Shashanga :
matukio ya siku za mwisho
2026-09-11 19:20:52
7
_iddo_den_47
Ernest Hemingway 047💯 :
hayo ndo mamb ya kidunia sas
2026-09-12 20:44:03
2
wiliamkilisitiani
Anode :
wote simameni watoa comenti teyari aya tuombe wote 🤲🤲
2026-09-12 17:02:30
7
sangulorashoo67
Sangulo Rashoo :
Afzal imepotea lkn sio kupanda juu ☺️
2026-09-13 02:41:06
2
zakariasamsoni0
zakaria samson :
niuzieninkiwanja hicho
2026-09-12 11:51:23
2
jo.classic.hd99
JO Classic HD :
Ngoja nikawahi kiwanja
2026-09-12 21:14:35
2
batistajohn876
Batista :
imeshaludi
2026-09-12 14:39:26
2
nichorausrichard
Nichoraus Richard :
hyo c n kupwa na kujaa
2026-09-12 14:02:27
2
angelcomme1
angelcomme1 :
kupwa na kujaa kwa maji
2026-09-12 13:41:57
3
05stoperwhtp0
@#STOPER# :
yalienda Nepal
2026-09-12 18:47:43
2
dvj.bimbim
dvj Bimbim :
ikirud msinisumbue
2026-09-12 20:55:18
2
francismtalimbo12
Official papaa :
makubw
2026-09-12 15:08:28
2
mbovurider
Mbovu Rider :
Mbn hayaondk na uku Tanzania?
2026-09-12 22:45:06
2
To see more videos from user @cwgchiwaga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About