@nyayotv: Unapoamka asubuhi kwenda kwenye harakati zako hakikisha unamuomba sana Mungu uwe na baraka na akuepushe na matatizo maana watu hawajali hata kidogo kuhusu wewe😳 Huyu hapa dereva toyo ambaye amegonga gari baada ya brake yake kukatika,licha ya mwenye gari kumuuliza kwamba anatakiwa amsaidie kidogo ili kutengeneza mwanaume huyu alimjibu kwamba kutokana na kipato chake yupo radhi kwenda kituo Cha Polisi na familia yake iendelee kuteseka kwa maana hana hata uwezo wa kulipa gharama za gari hilo.... Je, kama wewe ndo ungekuwa mmiliki wa gari hili ungeamua kufanya Nini baada ya tukio hili!?🤔 @PROFESA ✍️ #tiktoktanzania🇹🇿 #creatorsearchinsight #fyp #tiktokkenya #fypシ゚viral
Watoto wakimasikin ndo tunaweza kumwelewa huyu baba lkn wao hawawez😭😭
2026-09-11 07:36:25
2247
Jonathan Jacob jj :
Tunaomba namba tumchangie Mzee wetu asiendelee kujieleza hivyo sio sawa
2026-09-11 08:47:21
652
it--is--janeth💤 :
mzee anaongea kwa isia kabisa
2026-09-11 07:07:50
937
✨💫 :
Ingekua ni kenya angekua ashachangiwa🥹
2026-09-11 09:09:30
440
🐴Horsepower :
Here in Kenya we would have contributed paid for damages and even opened him a better business. The Mzee is so genuine with his response.
2026-09-11 11:06:12
41
iConic :
Bwana mimi nilivyo haijarishi mtu kanikosea vipi lakini akikiri kosa na akakubali hivi kutoka moyoni mimi namsamehe
2026-09-11 08:13:36
382
Shuu hatun ❤️🦋 :
Maskin babaangu 🥺🥺
2026-09-11 07:48:54
203
Official maggie 08 :
Msameheni tu jamani hajakusudia
2026-09-11 07:42:43
409
deetryzah :
Da tutafuten pesa sana wazaz wetu wanadharirika 🥺
2026-09-11 19:43:24
6
elvymajor :
the fact that he is saying heri ashikwe you should understand how his life is its sad to see this
2026-09-11 09:30:32
2
PARIS COLLEGE COSMETOLOGy... :
please forgive him he's a dad trying his best to support his family 😢
2026-09-11 10:46:27
10
Mrs ❣️❣️ :
aki woyee I feel pity for him
2026-09-11 11:58:31
1
💫🦋Phina💅💅 :
cijui nalia nini 🥹🥹🥹🥹😭😭😭
2026-09-11 09:33:26
12
rozzeyfootwear collection🇰🇪 :
forgive and forget,he's sorry
2026-09-11 14:39:49
2
mose :
igekua kenya tungekua tushamnunulia mzee prado yake kama hiyo kenyans gonga like tukisonga
2026-09-11 17:17:09
10
Hansnolvan :
Daah umasikini naulaani sana, yani nimefikilia sana uyo mzee anavyoongea kwa hisia. Mungu wasaidie wanaume wanaopambania familia zao uku nje wanakutana na mengi.
2026-09-11 07:17:55
647
herob002 :
we call it mechanical error
2026-09-11 19:45:39
1
Dkt.Stac 🇺🇸 🇰🇪 :
Can I pay for him !?
2026-09-11 09:12:58
100
Try✍️ :
Eeh mollah tuajarie mioyo ya kusamehe 🙏🙏
2026-09-11 08:02:19
38
baby girl 🥰 :
kwani mukimuacha kuna shida gani mzeee ana busala sana😭
2026-09-11 08:18:27
58
INTROVERT power :
kumuacha aende kuna shida gani jamani
2026-09-11 07:59:31
97
Miss Yori ❤️ :
Familia za kimaskini ndo tunaelewa huyu baba hisia zake 😭😭 ameongea kwa uchungu sana hana maskini hana Mpaka Kaomba apelekwe police 😭😭😭
Unaweza kukuta sio gari hilo,ni JOKA hilo linatembea barabarani na hapo limeshaumia
2026-09-11 08:49:49
24
Lucy Isack :
wasio muelewa huyu baba ni watoto wa kishua,ila sisi masikini tunamuelewa,Kama mwenye gari anahitaji kulipwa tumchangieni jamani,Yani mtu mpaka anaomba awekwe ndani!kaona ajihukumu mwenyewe.(soma na kuelewa)
2026-09-11 07:33:29
48
To see more videos from user @nyayotv, please go to the Tikwm
homepage.