Huyu bi mwana sichoki kusikiliza nyimbo zake. Ana sauti ya kuvutia sana. Mungu aendele kutulindia bi mwana jembe gumu.
2026-09-16 09:19:05
1
A one man army :
maashaallah
2026-09-11 10:26:20
1
Ali Hassan cardy :
kwa raa zangu..
2026-09-14 04:27:48
1
Mariam kabwili :
unamaruru unamaruru,nyimbo tam sana hiii jmn acha tu hasa kale ksebene ka taarab
2026-09-11 13:18:21
0
salmakaniki125 :
wataka yote utapata wapi yoteee😂
2026-09-11 07:15:09
1
Khadija Iddy :
spire tairi, ya kitamboooo, siku nitaipiga kwangu.
2026-09-23 17:24:43
0
kitojo :
mungu amueke uyu mama adi nikutane nae laivu nahahadi yake ya nyimbo viumbe wazito
2026-10-01 09:41:16
0
kida :
hapo Bado wako pamoja namaanisha Zanzibar star haija zaliwa, I Love east Africa Melody
2026-09-24 12:09:23
0
Man Rogger Msizwa Og :
Oyaaah sio pouwa ,nakumbuka kitambo pale Magomeni lango la jiji
2026-09-17 09:02:59
0
ismi :
mtu azitoe clear ama warecord tena upya na vifaa vya sasa,kuna vibao viwili navitamani kimoja chaitwa Kimbelembele na cha pili ni Supu ya pweza ya Mzee Yusuf
2026-09-11 20:32:04
0
MELON 🚫 :
m...ya mabanati
2026-10-01 06:07:26
0
user5931181288665 :
😁😁😁
2026-09-22 14:02:01
0
biubwahassan518 :
❤️❤️❤️
2026-09-11 21:40:44
0
nuwaruubusiness :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-04 22:49:05
0
To see more videos from user @rabiamandred1, please go to the Tikwm
homepage.