ujue hii video nilikuw sijaelew hp sasa ndo nimeelew
2026-09-11 09:34:03
4
viniciuas :
2026-09-11 08:45:01
2
ali bilali :
brother
2026-09-11 07:07:13
0
Yusufu Chado🇹🇿🇶🇦 :
Hapana hajamsikia kuna makelele😂😂
2026-09-11 09:28:40
0
GUCHI💜 J :
dah ni huzuni
2026-09-11 06:33:32
0
Derren :
kweli kaka
2026-09-11 11:07:11
0
kim nah ACCESSORIES :
kwan angekuwa nandy wangemzuiaa
2026-09-11 11:11:39
0
mam kingsley👑👑🥰 :
jmn inaumiza sana asione masha
2026-09-11 11:10:06
0
ummy🎀💕 :
kabisaa
2026-09-11 10:25:06
0
Happyness matinde :
dah nikweli kaka angu wamekosea
2026-09-11 09:08:20
0
yunicon :
sikupingi sabato nakupenda sana kaka acha tutoke magettoni
2026-09-11 08:42:25
0
Happyness matinde :
kaka nisaidie na mmi kpenzi tufanyaje tutoke kaka wengne hatuna pakusnzia kaka tafadhali nisaidie naitwa happyness nipo dare s salam
2026-09-11 09:10:17
0
Nandu wanzelu :
Bora Harmonize ,Hao midhalau 😢😢
2026-09-11 10:10:02
1
user6704488446523 :
zalau
2026-09-11 08:41:54
1
thug life :
alilewa
2026-09-11 11:18:55
0
MAYA👸💫💜 :
Mi niwe tu mkweli hata nikija kuwa maarufu tanzania yani sitaki shobo na wasani wasio na respect kila mtu afanye maisha na kila mbuzi ale ulefu wa kamba yake. hakuna heshima kama pesa 🥲🥲 duuu tutafute pesa vijana
2026-09-11 10:55:34
0
Mimi :
Unakumbuka alivyopanda stejin wasafi festival uchi akasababisha mwenzie kufungiwa??? Unakumbuka alivyokuw anamtukana Zuchu?? Kuwa hapo tu inatosha ila mazoea kama zaman ndo hakuna 🤝
2026-09-11 10:51:15
0
Happy Erasto :
atahivyo kayataka mwenyewe
2026-09-11 11:15:53
0
MR HECHI BOY FAMILY :
🥰🥰🥰
2026-09-11 10:42:53
0
To see more videos from user @deejay_msabato, please go to the Tikwm
homepage.