@mrmazagazaga:

VIRUS
VIRUS
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 06:24:21 GMT
119881
8344
555
1218

Music

Download

Comments

itshm__
HM :
kuna siku walinibananisha wakanambia nipange mistari 3 na nipo peke yangu 😂
2026-09-11 13:09:07
129
starruben788
starruben788⛎ :
navuta pumzi na naangalia njia ya kutokea ... aiseee speed yake. 😂😂😂
2026-09-11 07:58:53
177
user4038203730351
it's me :
wachumba tu 😂
2026-09-11 15:55:16
15
6227vj
vj :
single file
2026-09-11 14:07:08
0
user3011304437268
swax smart furniture :
Ndo mnachoweza
2026-09-11 08:11:28
84
imufixphones
𝐅𝐢𝐱 𝐏𝐡𝐨𝐧𝐞𝐬 𝐕𝐢𝐛𝐞 :
Sitosahau nishawah kujichanganya shamba la matikit na njaa zangu nikakimbia wajomba walikua wawili wakaanza kunikimbiza tulienda kama kilometers 2 hivi nishachoka ikabid nisimame na wao wakasimama wananiangalia kama dkk 2 hivi wakaniambia haya twende usiangalie nyuma 😁😁 nikaanza Tena nilikimbia mpaka moyo unasema utasimama au nisimame Mimi 🙌. kwenye Kona naangalia nyuma sioni mtu nilishukuru
2026-09-11 13:32:49
25
__lauhiya
🥀_Rouhy🦋 :
wanamtoa umaarufuu😂😂😂
2026-09-11 06:50:33
45
the_highest_of_al
MASTER :
Never ever
2026-09-11 14:58:48
0
divahkasya
divah kasya :
Iyo ndo shida ya kutojua au kusoma sheria 😅😅
2026-09-11 10:13:02
25
ben_lee_bl
benleebl :
ndo wanacho kiweza😂😂😂
2026-09-11 15:13:36
8
yusuphwm
Yusuph_wm :
background vipi hyo😂
2026-09-11 09:18:13
0
funny.daz97
funny daz :
uzuri wa jesh Kila action scale lazima iingie😂😂
2026-09-11 07:55:58
25
noah_brighton
𝐍𝐨𝐚𝐡 𝐃𝗲 𝐁𝐫𝐢𝐠𝐡𝐭𝐞r :
mazoezi ni afya😂
2026-09-11 09:27:41
9
shenstz
shens_tz :
29 mlishindwa kuwafany ivi police 😏
2026-09-11 08:25:55
21
rasuryahmed318
Rasury💥 :
asanteeh baba lileteeee na uku
2026-09-11 07:37:18
5
kisombi_demichael_byanda
BENNY_KISOMBI_13 :
Ila mnaonewa na police 😂
2026-09-11 08:27:52
38
deogratias.kitobe
Official mbagala boe💥 :
ayo mavazi tuh 🥺🥺 kuna maisha baadae
2026-09-11 12:37:02
7
lily.da.wise
Lily da wise :
😂😂 bora sio mim
2026-09-11 08:00:21
5
pablo_maker47
Pablo_Maker :
sifa wepesi 😂
2026-09-11 08:29:38
5
yasin3953
Yasin :
mimi apo mtanitafuta aise sifanyi iyo mm 😂😂 nakimbia mtanitafuta
2026-09-11 07:58:01
5
xtopa_xela
xtopa xela :
shule ya mfano site Dodoma mwanang mgogo
2026-09-11 09:20:25
6
canelo2340
Canelo :
Hizi habari za kujikuta tiktok ndo huwa sitaki kheri mnipige mniue sio kufanya hizi adhabu
2026-09-11 07:49:24
5
lesikarisiria
lesikarisiria :
😂😂😂😂 Oyooooooooo
2026-09-11 15:17:48
2
chi.mama59
chi mama🥰 :
oyaaa mim sasa nazima
2026-09-11 11:55:03
0
samwel.onesphory
Sam One :
haya ndio wanajeshi wa tz ndio wanaweza
2026-09-11 15:51:31
2
To see more videos from user @mrmazagazaga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About