@donmacute: Who can relate this!? Na Kama kuna ambazo Nimesahau ruksa kuongezea kwenye comment🥰😁 #viralvideos #reality #tanzania #women #men

donmacute
donmacute
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 06:33:40 GMT
42923
2379
347
60

Music

Download

Comments

chill42863
CHILL (activist) :
inaonekana unanijua sana dada[Laughing][Laughing]
2026-09-11 19:22:36
0
charl_876
★🖤ĹÕẀƘÉỲ ŠÒÚĹ🥀 :
like introverts
2026-09-13 09:52:56
0
user77121975174
PAPY OFFICAIL :
wale wa group o tupo wap
2026-09-12 23:52:37
0
donmacute
donmacute :
Tujuaneee familiaaa😂
2026-09-11 07:00:22
55
shuuuniq7
Shuu memez 💃 :
iyo namba 1 ad namba tunafuta😂😂
2026-09-12 16:00:56
0
chally__tz
chally__tz :
kama mm💯
2026-09-11 12:49:31
0
belindashilavula
zingo :
hiyo kunblock Mimi no 1🤣
2026-09-12 21:00:07
0
user3212510246691
official.gyackienzunda. :
yaan hapo kila point inanilenga mm kasoro ya9
2026-09-11 12:25:28
9
mayoelectricalsolutions
Regina Thomas Julius :
mnaonaje tukiwa na group letu jaman tuwe tunakutana😂😂😂(Group O family)
2026-09-11 18:34:42
3
dadula189
ndagula rushita :
namba 6 ndio bora zaidi ahahaha
2026-09-11 09:15:19
3
jux.model.4
Jux Model 4 :
kumbe ndio maana mahusiano yangu haya jawahi kueleweka
2026-09-11 12:20:10
4
rongyantiger10
RONGYAN TIGER :
kwani mkizungumza ni lazima kila siku mseme Mahusiano kwetu ni changamoto😏😏
2026-09-11 13:08:40
6
mrsmile163
Mr,BT🐿 :
@donmacute tumeshaukuwa wa mfano Kila siku mtuachee jamani
2026-09-11 13:00:16
3
mrsmile.jr7
mr smile :
🥰🥰😂 aaah kamajini umejuaje
2026-09-11 08:54:57
1
geofreymwafinga
geofreymwafinga :
duh dada fanya na yangu bs nina group d
2026-09-11 09:31:54
0
user3915614990841
o :
Ulikua wap mpka unajua sisi kama Ni watu wa dizain hiyo
2026-09-11 21:48:58
1
legendcharles111
LEGEND CHARLES11 :
Dada unaweza nifundisha kubembeleza mwanamke icho kituu kinanishindaga naona kama najivua nguo🥺🥺🥺
2026-09-11 18:55:53
0
user9032468215550
power :
yaani ukweri mtupu sijui tupoje .me ndio hua sinaga kabisa uvumilivu hata kidogo kukubrock .kufuta namba yako na kukutukana kimoyomoyo
2026-09-11 08:52:42
2
inocentoggy45
inocentoggy :
Kama kajala
2026-09-11 07:58:04
0
katoto_lifi
katoto :
unanisemaga mim wewe
2026-09-11 08:54:02
0
iphone_room_tz
iPhone_room_tz :
Mhamie na group B sasa jamani. 😂🔥
2026-09-11 17:00:36
1
hakika.kaz.zab.128
HAKIKA KAZ ZAB.128.2 :
ndo Mimi kabisa Niko hivyo Yani sijui kwa sababu zipiii moyo wangu ulivyo😳
2026-09-11 08:53:56
1
emanuelkissuu
Mc kachumbar :
sasa mtuache zungumzien na magroup mengine bn sio kila siku sisi kiruuu!
2026-09-11 08:00:33
0
emanuelyendrew
emma :
kwaiyo unaamua kunielezea nilivyo? nikadhani naumwa kumbe nidamu yangu inashida aisee dah🙌🙌
2026-09-11 08:23:36
1
elly_breezy0
elly_breezy :
vyote ulovyo vitaja nimevifanya Leo asilimia kubwa
2026-09-11 16:38:37
0
To see more videos from user @donmacute, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About