Kajala kaachwa hii mara ya tatu serikali haisemi lolote😂😂😂
2026-09-13 11:48:24
959
JB 🍂 Alphonce :
kajala analia kitajiri🥰
2026-09-13 11:01:41
593
Marry innocent :
Mjue sana Mungu ili uwe na amani
2026-09-13 12:46:17
608
Nolly🌸🖇 :
Serikali haimwoni harmonize au😁
2026-09-13 11:18:21
128
eliza8 mtoni :
kajala au nikupe moyo wangu uone ulivo bondia wa kila situation 😂😂
2026-09-13 10:17:05
235
Rachel mtweve :
Bola kajala ana wakumshauli Kuna watu wanateseka peke Yao jamani
2026-09-13 13:33:55
178
groly844 :
Pesa sio kila kitu jmn kwa hii dunia🥺
2026-09-13 13:52:08
84
Kim :
Hapo jack anasema bora aliachana na harmo maan angekua yey ndo anapitia ya kajala
2026-09-13 12:24:37
206
Jamy-8 :
mmmh hawa wanadrama hawa n bongomovie jamni uwiiiii yaani mmh kipindi kishaanza kukosa ladha..saaa hiv n Harmo n kajala[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-14 11:44:10
0
Lutseso Lwila :
God bless kajala and give her peace🙏
2026-09-14 10:00:35
2
LoLo Tz :
naijua hii situation..YESU NI MZURI SANA...RUN TO HIM🙏
2026-09-13 20:52:47
0
sallykass :
hugs dear from me😊😊
2026-09-14 12:47:51
0
Mj.Mwa :
Kajala just take your time, you rush at times.
2026-09-13 20:31:08
0
I'm blessed 🙏😇 :
kuna umuhimu WA kumweka ROHO MTAKATIFU nafasi tuliyowaweka watu 🤌🛐
2026-09-13 18:27:25
12
n81cecyy♓️ :
Ila cic wapole tunatendwa sana 😌
2026-09-13 13:49:43
30
Queen2023 :
I love these ladies but watching Kajala cry is heartbreaking,may God give her peace🥰🥰🥰
2026-09-13 15:17:10
32
Pendora _china :
Irene umeongea point. Ni Mungu tu
2026-09-13 13:04:43
51
Bee_Havanna🥰 :
Bikira maria mama mfungua mafundo atakufanya uwe sawa Kajala🥰🥰🥰
2026-09-14 05:02:15
8
Thureya Abdalla :
The woman is going through it.!
2026-09-13 10:31:35
58
Judik novarty :
Kajala nakupenda sanaa pls naomba usiwe mbinafsi wakujiangalia mwenyewe angalia kuna watu nyuma tunao kupenda pls naomba uwe na amani kwa ajili yangu mimi apa
2026-09-13 11:29:40
81
sophia ajibu :
nabii tito siamuombee apo
2026-09-13 10:45:21
38
Bratino :
ni haya haya mapenz au Kuna kingine
2026-09-13 11:35:32
46
MARTIE :
Pesa hainunui furaha
2026-09-13 12:11:19
20
Mwanjaa Shaaban :
jaman tuacha masihara LINDA AMANI YA MOYO WAKO,sasa ilinikuta mm sina hela sina msaada hata wa mume sina msaada hata wa nddugu ,nina watoto 3 jaman jaman nilikuwa sijitambui kabisaa ,na pia hata ukisema uombe dua unaona kabisa unacheza ,Allihamdullillah kuna siku niliamua kuswali niliswali bila komba chochote zaid YARAB NAOMBA AMAN YA MOYO WANGU ,NOW AM OKY ALLIHAMDULLILLAH
2026-09-13 20:29:44
23
To see more videos from user @dstvtanzania, please go to the Tikwm
homepage.