@swiiftiphonecenter: 🚨 WHATSAPP INAWEZA KUKUFUNGIA ACCOUNT YAKO — HATA KAMA HUJADHANI UNAFANYA KOSA! 😳📵 Ukiamka siku moja ukakuta: “This account can’t use WhatsApp.” 💀 Usifikiri ni lazima uwe umehackiwa. WhatsApp inaweza kuchukua hatua dhidi ya account ikiwa activity yake inaonekana kwenda kinyume na Terms of Service — ikiwemo spam, bulk/automated messaging, scams, au activity inayosababisha watu wengi ku-block/report account yako. Na kama unatumia WhatsApp Business, usiwasiliane na watu ambao hawajakupa permission ya kuwasiliana nao, heshimu opt-out zao, na epuka messaging ya kushtukiza au ya kiwango kikubwa isiyoruhusiwa. ⚠️ Ili kupunguza risk: ✅ Tumia WhatsApp official ✅ Epuka unofficial/modded WhatsApp ✅ Usitumie bulk messaging kiholela ✅ Usitume messages kwa watu ambao hawaja-opt-in ✅ Heshimu mtu akisema hataki messages zako ✅ Epuka automation/scraping isiyoruhusiwa ✅ Usifanye watu wengi wakufikie kwa sababu ya spam Account yako ya WhatsApp inaweza kuwa sehemu muhimu ya biashara yako — usiichukulie poa. 📱💼 👉 SAVE hii post kabla hujakutana na “This account can’t use WhatsApp.” 👉 SHARE na mtu anayatumia WhatsApp kufanya biashara. 👉 Comment “WHATSAPP” kama umewahi kuona ujumbe huu. #WhatsAppTips #WhatsAppBusiness #WhatsAppSecurity #TechTips #SwiiftiPhoneCenter
so this means kwamba Whatsapp wanasoma massege zetu
2026-09-11 09:46:26
0
MASSAFA :
ukitumia vivo na OPPO ili lazima likukute tuu
2026-09-11 09:43:51
7
Angel ayubu :
mm pia nimuanga nimesajili mwanzo imekubali kidgo ikafungwa, nikatumia namba mpya bado imegoma pia
2026-09-11 08:32:58
6
dhulkif :
Umesahau usitumie clone whatsapp kma yo WhatsApp and Whatsapp GB
2026-09-11 08:50:56
2
merha @mna :
Kaka nimefungiwa nafsnyaje whsp yangu irudi?
2026-09-11 11:11:01
0
Mjalyzer :
mimi natak kufungua mpya lkn imegoma
2026-09-11 09:52:50
1
dilly boy :
mimi brother imefungiwa nisaidie
2026-09-11 08:37:51
0
user6557264460005tym :
Mm yangu Jamani
2026-09-11 12:20:27
0
MTURUKI 🔥 :
mbona mm niki danrodi haitaki kaka ni saidie nifanye je kaka
2026-09-11 07:42:27
0
Bwam muu :
mie 1 wapo mwez wa 7,mpk nimechok tn tareh 1 ,5 tn 10 eeh nikaungua ikaj tn trh 20 aah mpk nimechok ss nimebadish lain kdg nainjoy ok 🙏
2026-09-11 08:39:58
1
saymon :
yangu imepigwa rock mpaka sasa nizaidi ya mwezi sasa
2026-09-11 09:00:12
1
Asia Decute :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-11 11:40:40
0
unfiltered Selina💞 :
Sasa itakuwaje ss wenye kina babe 20 na wote inabd niwaite sweetie kila saa
2026-09-11 09:14:12
0
healthylife :
sasa ni takriban miezi zaidi ya 6 wasap imefungwa na jitihada za kuapel zilifanyika lakin hakuna mafanikio
before ishawai tumika Gb wasap, kazirb miak 2 apo nyuma, tulivyoachan na gb tukawa tunatumia official wasap, sasa nadhan mwaka huu iyo official wasap ikalog out account yetu, kila mara ukijaribu kulogin hizo namba zinakataa inakuandikia you need official wasap, akati unatumia official wasap from play store , tufanyaje kwa mwenye uzoefu ?
2026-09-11 09:53:33
0
Mama bonge :
kati vyote ulivyotaja naweza sema nipo salama🥰
2026-09-11 11:45:35
0
all hajji diouf 10 :
kiingine ni ukitumoa deverlop
2026-09-11 12:22:06
0
@kim rashid :
Mimi imefungiwa bila sabab yoyote umeyoitaja kwenye video
2026-09-11 11:56:58
0
☘️S_T World🌍 Gaming🎮🔥🔥☘️ :
Me mwezi kubabake
2026-09-11 11:52:09
0
Asia Decute :
hata yangu ina lock kabisa wiki yapil
2026-09-11 11:39:48
0
mr.....🤑pŕîñćê ďěĺĺě vîĺĺě02 :
Tanguy imefunguwa bila ata hivio
2026-09-11 11:24:00
0
official✍️Mc,B🔥 :
boss hata yanguu imefungwa
2026-09-11 11:18:16
0
$Carlyn..™ :
Mm ni muhanga nsaidie
2026-09-11 07:22:23
0
To see more videos from user @swiiftiphonecenter, please go to the Tikwm
homepage.