@mrfullpackage4: tunawaomba na mpia ukiisha muwe ivo ivo na vibe lenu🤣🤣🤣#nguvumoja #cut #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokviral #malawitiktok🇲🇼

@Mrfullpackage#347
@Mrfullpackage#347
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 07:08:09 GMT
24967
1502
168
32

Music

Download

Comments

ibu56561
Ibu 56 :
kagoma eeeeh kagoma eee, piga keleleeeeeeee libase moto
2026-09-12 04:04:25
15
mary.barnabas.hau
Mary Barnabas Haule :
Tumewapiga ngapi hivi
2026-09-13 16:43:31
7
jescabujaga
Jesca Bujaga :
a few moment later😂😂
2026-09-13 17:24:23
1
esthershigemelo34
Tiffan🥷 :
simba tukishinda hamto amini tutakavyo wasindikiza[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-12 07:40:51
3
kenny.balaka
Nacy B :
ayi zikomo takulandilani achibale wapatiye moto mwingi 🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-12 08:15:38
0
user9517686672412
Innocent lmma :
zabwino zonse timu yanthu
2026-09-12 19:28:22
1
floramaxhimba
floramaxhimba :
Asanteni kwa kututungia nyimbo
2026-09-13 18:17:00
4
user91366093
movick__Boazy :
wake zeeetu
2026-09-13 17:15:31
0
ally.sharifu4
Doctor ally sharifu :
mimi ni yanga ila hawa hawaijui historia ya simba katika mechi za kimataifa
2026-09-11 13:11:39
23
johnmaxmilia
M J :
hii ndoinaitwa kaenda anacheka kaludi analia 😂😂
2026-09-11 10:44:28
14
mamusa20
mamusa20 :
🤣🤣usitukane mamba 😁😂😂😂
2026-09-13 18:30:10
1
lissah455
lissah ford :
Ila wana vibe had raha😂😂😂
2026-09-12 11:39:03
1
lucyjason95
lucyjason95 :
😁😁😁😁 ndo wanarud kwao
2026-09-13 16:00:14
1
t.antony3
T Antony@ :
Kumbee munajuwaaa kuw libasee moto eee
2026-09-11 15:04:43
5
silongoishilalokisambi
evanc f moruo0769477776 :
hongeranen sana kushangilia kua mpo Tanzania nichi ya amanin
2026-09-11 13:26:57
5
asia.bakar6
Asia bakar :
nasikia libase motoo😂
2026-09-13 08:18:36
1
sekiondo2
Last born 🇰🇪 🇸🇦 ❤️ :
izi jezi zao jamani si zaaribu watu macho au ni mimi tu nivae miwani
2026-09-12 11:43:34
1
shamshery.aj
shamshery47 :
😂😂😂😂😂 soon tutasikia kuna aliyesahau uwanja wa ndege 😂😂
2026-09-12 11:40:56
0
sirngimba
sirngimba :
unadhani simba akifungwa hawa jamaa watakaa kimya?! 😃 umeshasahau!
2026-09-12 08:33:30
1
elizabethjosephgmail.com
Elizabeth mpolee :
nime sikia wana imba tutagoma sasa wame gomewa
2026-09-13 18:10:10
1
hamisihajira47
madam boss :
kwahy watu wasifurahi jaman emu waache
2026-09-11 15:51:59
0
cencho.boe6
Cenchoboe :
Piga keleleee libasee moto😁😁😁
2026-09-11 19:34:12
1
devis6523
devis :
mbona watasema haw
2026-09-12 02:45:46
1
To see more videos from user @mrfullpackage4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About