@mpembacomed1: NDOA YANGU 😭😭#zanzibar #tanzania #Oman #fyp #creatorsearchinsights @Rashid Brown og @Ajumy Ajumiya @brayzon @saada m omar

MpembaComedy1
MpembaComedy1
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 07:32:08 GMT
128071
7297
254
421

Music

Download

Comments

millennial.p
Leo🦁🇰🇪 :
mm pia ntakuwa kama huyu mama,nikifikiria wanangu wataolewa wakale mapera naishiwa nguvu...
2026-09-11 09:31:03
16
bushra2803
Bushra 💕 :
Mamkwee nampendaa hasaa anajuwa 🫶🏽
2026-09-11 07:57:47
15
machano.abuu
Machano Abuu :
ila tuseme ukweli mpemba unasauti nzr
2026-09-12 04:25:40
3
halima.daudi8
halima daudi :
mimi ndio ilo kuti mda wowote linadondoka kama mausiano yangu😏
2026-09-11 09:21:07
7
zungu3287
Zungu :
mpemba unawapelekea moto balaa
2026-09-13 12:39:50
0
rouhy.sarah
Rouhy Sarah❤️ :
Likimuangukia atapelekwa Lumumba voo🤣🤣🤣 🤣🤣nimechekaa sanaaa
2026-09-11 08:05:04
9
zuwenaabdullakham
Shaghala kujidai :
Uwiii mpemba kajibu mapigo sitobishana na ntuuu🤣
2026-09-11 07:39:29
8
user2003381420849
user2003381420849 :
Asante mpemba [Red heart][Red heart][Red heart]
2026-09-11 13:59:43
2
mariamu6190
MARYAM :
mimi ndio hilo busati mana nisha chanika na penzi wangu 😂😂😂
2026-09-11 08:51:16
4
ameir699
See us! :
mpembaaa mpemba dah ww ni balaaa😁😁😁
2026-09-12 07:45:44
1
juma.hator
Juma Hator :
nitapigana na tumbo langu
2026-09-11 16:31:30
0
m2livu1
M2LIVU :
😁mkwe mipasho
2026-09-11 07:57:10
5
azizaty00
Azizaty :
😂😂😂😂😂😂😂😂kumekuchaa mapemaa.
2026-09-11 08:46:39
1
rahmakhamissrahma
Rahmakhamiss Rahma :
tunaomkubali mpemba nahasapale anapoimba tujuane kwalike
2026-09-11 08:49:52
6
dalyat.sineno6
dalyat sineno collection :
mpemba kwa michambo ila kwa kupambania maisha aaahh
2026-09-11 16:10:30
2
suleiman.haji57
Suleiman Haji :
Mama yupo moto
2026-09-14 09:00:41
2
fabianmaziku6
fabianmaziku15 :
🤣🤣🤣 Ila wakwe mnachangia ndoa kuvunjika badala ya kuwashauri vizuri
2026-09-13 20:54:10
1
zamzam00374
zamzam00374 :
😂😂😂 hawaniwezi ndo mana wananisema sana
2026-09-11 08:43:05
3
reemmajala
Reem Abdallah :
mpemba fedhuli kweli kweli
2026-09-11 07:50:36
8
yuu.chibonge
Binti Yuri :
😂Shem km shem🤣😁😂
2026-09-11 07:54:22
3
user69416099815270
sofi :
mkwe mwanakulitafuta mwana kulipata🤣🤣🤣
2026-09-11 09:23:21
1
mrs.mkku
Mrs Makuku :
2026-09-11 08:23:43
1
femmymbaga
femmy :
Yn nimecheka sana nakupenda mpembaaaa❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-09-11 10:01:29
2
user3837668248374
emmy :
na ukipelekwa lumumba unakufa😂😂😂
2026-09-11 16:31:36
1
shareefah_160
Sherry :
[Tears of joy]la mpemba[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-11 07:41:44
2
To see more videos from user @mpembacomed1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About