Ni wewe Yesu umenitetea maana bila ww nisingeweza 😭😭😭
2026-09-11 09:38:57
5
P :
Mungu azidi kukubaliki sanaaaa Baba
2026-09-11 09:46:49
3
pretty 😍 :
ni ww yesu tu😩😩
2026-09-11 09:48:44
2
Ev. Mwakasala Daniel :
hakika ni wewe YESU peke yako unae tutetea na kutupigania
2026-09-11 08:47:43
2
Einoth Laizer :
Ni wewe Yesu kristo Umetupa Mwl na Mtumiishi Wetu Onesmo Bwana Mziidishe Neema Yako Bwana
2026-09-11 09:01:37
2
mercy :
Ni wewe Mungu umetupa baba yetu Onesmo Mungu tulindie uyu mtu jaman Mungu nakuomba nakuomba tena Mlinde sana 🧎♀️🧎♀️
2026-09-11 12:32:15
0
judith :
ni wewe yesu😭😭😭😭😭
2026-09-11 10:36:08
2
Julyb nyangusa :
kabla hujaniumba tumboni mwa mama yangu wewe MUNGU wangu ulinijua... ni kwa neema yako MUNGU wangu umetupa kibali mpaka siku ya leo kuwa wazima tena wa afya sisi na wazazi wetu.. Tena ulitupa wazazi waliotulea katika njia yakoo. Ni wewe tu peke akoo uliamuru haya na mengine mengi. SIFA NA SHUKRANI ZIKURUDIE WEWE MUNGU WANGU
2026-09-11 13:17:36
1
Tamaly jackson :
ameeeen baba
2026-09-11 22:37:12
0
Rose Stephen :
Ameeeeeeeeeeen hakika ni wewe Yesu.
2026-09-11 19:04:25
0
Ich heiß Barbie Angel🇹🇿🇩🇪 :
2026-09-11 18:52:22
0
Linah Jayden😍😍 :
Amen
2026-09-11 08:01:25
1
Telesia Jackson :
Amina
2026-09-11 18:20:47
0
faithstore :
Ni wewe tu Yesu
2026-09-11 21:01:17
0
schorla .y. mahoe :
Mu ni wewe ulioniepusha na hatari ile
2026-09-11 16:45:24
0
rosekimario995 :
Asante Yesu kwa kila kitu maishani mwangu
2026-09-11 17:49:12
0
Ruth Kuley :
Ameeeen ni Yesu pekee alieruhusu yote yatendeke
2026-09-11 17:38:51
0
Neema Akyoo :
ni wew yesu unayetambuwa hatma yangu
2026-09-11 17:26:35
0
MAMA IVY&AVIEL🥰 :
amina amina ubarikiwe sana
2026-09-11 17:24:34
0
user8627172786 :
aminaaa
2026-09-11 18:57:16
0
To see more videos from user @mwlonesmoprosperity, please go to the Tikwm
homepage.