@vodacomtz: Furahia na familia yako vituko, ushindani mkali, mahangaiko na vichekesho vya washiriki wanaopambana kuweka na kuvunja rekodi za kipekee. Kila challenge ni burudani ya aina yake na kila rekodi ina hadithi yake! Inapatikana VTV pekee. Pakua App ya VTV au tembelea vtv.co.tz kufurahia burudani hii. #VTV #WekaRekodiVunjaRekodi #ZaidiYaMtandao