Kila mwezi bolt anaweka kiasi gani na mkopo ni muda gani
2026-09-11 15:54:37
0
Busybeesriders :
mbona hamuongelei marejesho!!?
2026-09-11 09:14:36
0
DAU GOOD 🇹🇿 :
usiseme bolt sema tax mtandao bolt ni jina la kampuni
2026-09-12 04:56:19
0
jamessbossa :
shida hupolei cim
2026-09-11 16:00:53
0
mbifile_01 :
kama nataka kwa matumizi mengine nije na ngapi?
2026-09-12 00:40:31
0
oisso :
Esabu 360000
2026-09-11 15:20:06
0
Umo 123 :
kwa mtu Ambae Bado hana bolt ila ni dereva anatamani apate gar ili anze kazi inakuwaje
2026-09-11 16:53:59
0
Donald Mapunda :
hivi nikiwa labda namilion 8 mnaweza kunikadilia kiasi Cha rejesho kilichobaki
2026-09-11 13:16:19
0
ceciedionizy :
Rejesho ni shingapi kwa wiki????
2026-09-11 19:57:22
0
Gerald Vaige :
wekeni na ofa ya kuweka cng,bolt cng ndio unyama mwing
2026-09-11 14:03:27
0
Official Bwanga 🇹🇿 :
ndio naanza biashara ya taxi mtandaoni na ruhusiwa
2026-09-11 15:54:21
0
michuzi :
mimi nimewaelewa je kama akaunti anayo ila ni bajaji ila anataka iwe ya gari yani Aamiie kwenye gari na leseni yake inaruhusu anataka kubadilisha tu mfumo atoke kwenye bajaji aje kwenye gari ipoje iyo
2026-09-11 15:18:27
0
Ma voice🥰❤️ :
Unatupangia 🤣🤣
2026-09-11 14:24:52
0
Elias Andrew :
Nadhan useme madereva wa Tax mtandao
2026-09-11 14:08:37
0
shedack rich :
Tunataka kujua marejesho kias gan kwa week?
2026-09-11 10:01:05
0
masokoo :
napenda kuuliza kwa wale wanaojia iv ukiwa na cash gari iyo unaweza ipata kwa shingap?
2026-09-11 13:48:29
0
Godmarwa :
mfano ukinipa mazda verisa kwa ajili ya bolt, rejesho kwa wiki itakua shingap na kwa muda gan? help please
2026-09-11 17:28:06
0
Tajiri wa Roho :
dada unakomwe zuri 🥰
2026-09-11 18:46:22
0
Fany bay :
dada mbna hampokei simu
2026-09-12 05:37:12
0
Brian Benard :
marejesho ya Kila cku ni kiasi gani!?
2026-09-12 03:02:38
0
Ashimu Karume :
kwa siku marejesha shingap
2026-09-11 23:16:27
0
WAGY ELECTRIC :
Arusha plz 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭
2026-09-11 20:39:14
0
Mwana Bhudagala :
Mimi naitaji Noa SR40 au Probox naitaji gari ya biashara
2026-09-11 18:48:09
0
Ally J. Katyentye :
Umeeleweka bosi wangu ngoja nakuja chap🥰🥰
2026-09-11 17:36:03
0
To see more videos from user @mirry_motors, please go to the Tikwm
homepage.