TRUE STORY
Nliwah kuishi nyumba kama hyo aisee apana sitorudia tena.. ilkuw n nyumba yenye koridoo ndefu, ucku koridoo inachangamka sana unaskia miguu ya watu tu inapita kwend na kurud tena wanapita kama kikundi
Me mgeni nlkuw naskia skia miguu ucku mwenyej yeye alkuw anaona n watu wamebeba jeneza wanatembea kwenye ile koridoo ucku, yule mama nyumba ilimshinda aliuza tena kwa bei ya kutupa kbs na hakukaa mda alifariki kwenye mazingira ya kutatanisha sana🥲
Mkuu me ata bure skitaki apana kwa kwel
2026-09-11 19:25:50
8
Black wukong :
Usiku wa manane
2026-09-11 12:35:02
10
Dyna🤍💫 :
Museum
2026-09-11 19:40:12
0
THE GALAXY :
Hii hapana ninajua madhara yake tena mkiyaondoa ndiyo mbaya zaidi
2026-09-11 18:13:28
16
Gasper lyatela :
dalali bhana lake liende 😂😂😂🔥
2026-09-11 11:42:45
12
Notorious :
ukishapanunua hakikisha hayo makaburi unayajenga upya na kuyaweka kwenye hali nzuri hayanyeshewi, vinginevyo uwe na mganga mzuri
2026-09-11 16:26:27
13
c.r.u.c.i.a.l :
hii nchi hakuna kupumzika adi kaburini wanakufata
2026-09-11 17:26:57
3
BA MSELA🐾 :
Wrong house 😂😂
2026-09-11 18:50:20
1
Trainer jr. :
Nakununua Alf najenga kanisa au msikiti
2026-09-11 19:25:53
1
Kiyyah :
unaniuzia mpaka hao marehemu au unaondoka nao
2026-09-11 21:21:31
0
KAZINYINGI :
umenikumbusha enzi za uhai wangu
2026-09-11 16:49:52
7
salim Abushir :
makaburi peke ake Bei gani
2026-09-11 20:04:30
0
Armando Guebuza :
jaman
2026-09-11 20:11:56
1
Nurdin Rajab :
hamisha kwanza ndouuze
2026-09-11 16:31:06
4
La torono_65 :
Nitafutie chenye makabiri mapya kama sita ivi kiwe mbali na lami
2026-09-11 16:27:49
1
Ms Bee🌹 :
Yangekuwa matatu ningefikria hayo mawili hayatoshi kwa hiyo bei🤣
2026-09-11 20:42:34
1
To see more videos from user @dalalikiembeni, please go to the Tikwm
homepage.