@malkiachoicefm102.5: Je, ni kweli kwamba wakati mwingine kujua kila kitu kuhusu usaliti wa mwenza kunaweza kuleta maumivu zaidi, au mwanamke ana haki ya kujua ukweli kuhusu kinachoendelea kwenye ndoa yake? Cc @bintisharif_ @somowataifa #MtaaWaPilia #MalkiaChoiceFm #ChaguoLaMalkia

malkiachoicefm102.5
malkiachoicefm102.5
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 11 September 2026 08:39:19 GMT
117978
4049
349
324

Music

Download

Comments

mariamukwingwa
wakala mamu ❤️👀😏 :
huwaga napenda kumjua adui wang nikae naembali
2026-09-14 11:42:16
71
yz802
Apple 🍎🍏 :
Hakuna chochote Kukujua nakujua na maumivu hunipi [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]weeee yani mimi nakuchokonoa nakujua kindakindaki na hunipi maumivu abadani[Laugh approved]
2026-09-14 16:00:32
1
camilakiri2017
dyanaprincess2020 :
yaani mimi mme wangu anavyonicare na kunipenda yaani sitishiki hata kidogo nikickia anamchepuka yaani naona kabisa mtu anavyochezewa na kupotezwa mda wake yaani mme wangu mimi ni roho yake na hata ya kuchepuka labda mtu aniletee umbea ila hata kumhisi huwezi kwa jinsi anavyosimama kama mume bora na baba bora kwa familia yake
2026-09-15 07:46:50
32
angelmakala111
Da fetty 💕 :
hata mm ninatamaa kama zake😂😂😂
2026-09-14 14:16:16
21
matymilinga
Maty Milinga :
weeeeeeeeeeeeeee ukute mchepuko amenizidi 🤣🤣 ndo hapa navulugwa
2026-09-15 08:12:03
2
prettymuslimah001
Muslimah 🥰🥰 :
Kila mmoj an tamaaaa tofauty yetu n wao n kua wanafany wazi n ss tunaficha that’s makes them selfish
2026-09-14 12:29:16
2
rosellageunsuk
rosellageunsuk :
mwanaume hajaumbiwa kuzini msiwape kichwa
2026-09-14 14:57:07
43
frolasimoni830
anna saimoni :
siwe mmi
2026-09-14 18:09:41
0
nickoratha
nickoratha :
asanteeee
2026-09-15 10:17:20
0
emmymwalabila
m&m :
Huwa napenda nimjue mchepuko wa mume wangu, ili nijue ananini? chakunibabaisha🤣
2026-09-14 13:18:06
35
changia00
ashura :
nikweri kabisa
2026-09-14 10:20:01
10
dimpo148
IamDatty :
Sipendi watu wanaohalalisha Uzinzi mimi🤗 ila siyo huyu
2026-09-14 13:08:50
22
user2005760807828
user2005760807828 :
mchepuko wa mume wangu Mimi siku nilio mjua mume wangu alisema namuacha Leo Leo akampigia SIM akamwambia sikupendi tena naipenda familia yangu akaanza kujileta maneno ety anamimba akaambiwa siijui iyo mimba na ukitaka zaa ukitaka utajua wew lakufanya akazidi Mim na mume wangu tulimchamba wote kwa pamoja alilia atali
2026-09-14 16:10:38
11
keypbenedo
keypbenedo :
weee me uwaga sikubali mpaka nimjue na sijawah shindwa siwezi kulia hata iweje mamaeee! yan nilie nalilia nini kwa mfano!? naamsha mpaka kieleweke
2026-09-14 11:17:51
14
gully_gully26
Gully_gully :
Ntaka nimjue nimpige😩🤣
2026-09-14 20:05:41
0
agripina633
tripplemum :
haswaaaaa
2026-09-14 15:19:52
1
oliverrestaurants23
Oliver food point❤️ :
Mimi nna kiherehere napenda haswaaa nimjueee na mme wangu siachani nae
2026-09-14 15:11:33
6
user2260188039530l
latifa Mohamed swalehe :
kweli kbs unabanana naye mpaka mchepuko awombe poo wanaangaika kwa wanganga ili waribu family za watu ila mungu ndiyo mganga tosha
2026-09-14 11:01:30
9
da.tinna1
Da tinna😊💘🦋 :
haki sawa kwa wote Kila mtu awe na mchepuko wake bhana khaaa hakuna matamanio wala nini😂
2026-09-14 21:22:13
6
neema11644
Neema :
kwenye kulia hapo hapana
2026-09-14 14:34:54
5
tumbombelegemathi
mama atifah ♥️♥️ :
naufahamu lakini mchepuko umepoaaa haustui
2026-09-14 12:17:39
2
thedon203
khanjr :
hii namuonesha mke wng yani ananichunguza sana ahsnt dada kwa ujumbe huu
2026-09-14 19:57:39
0
my.hiro0
my hero💪🤩😍♥️ :
siwezi kuogopa kumjuwa labda atembee na mdogo wangu au mama angu ila hao wengine nataka niwajuweee
2026-09-14 17:16:02
2
user7053743279933
mwaju 💞💞💞💞 :
usitushauri utatuchanganya bhanaa mme ninaye naninatamba nae akichit nachit saiz tupo nje ya muda bhanaa[Big LOL]
2026-09-15 10:10:07
4
usermaysaah
maysadulla :
mchepuko Wa mume wangu anajulikana ukweni...
2026-09-14 18:29:02
3
To see more videos from user @malkiachoicefm102.5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About