@hemanipodcast: Mungu, wanipenda kuliko rafiki. Nakuahidi kukutumikia kwa moyo wangu wote. ❤️🙏 “Ninyi ni rafiki zangu, mkitenda niwaamuruyo.” — Yohana 15:14 #hemanipodcast #nenolamungu #biblia #amen #storytime #fypシ゚ #tanzaniantiktok🇹🇿 #osborn
Hemani Podcast
Region: EN
Friday 11 September 2026 16:00:00 GMT
Music
Download
Comments
Irene :
Binti wa imani huu wimbo ♥️🙇 i listened it and God did something to me🙌
2026-09-12 06:03:22
26
Reen able :
ambwene ndo GOAT ww gospel
2026-09-12 06:16:46
37
thecla🍫 :
5 misscarriage uwiiii mungu nionekanieee
2026-09-11 20:49:40
216
Icon store 🛍 :
Huu wimbo ukiwa na uchugu we sikilizaa tuu utakaa sawa 😢
2026-09-11 20:46:59
125
vee wenaa :
Hiii nyimbo inqutwaje jamn🥹
2026-09-12 10:23:58
11
MC DANNY FM :
WEWE NI MUNGU NA UTABAKI KUWA MUNGU.
2026-09-12 17:45:54
66
linah :
Mungu ni mimi huyu tena ninayekukosea kila siku lakini bado unanipenda unanisamehe please Baba Mungu wangu usinichokeee
2026-09-12 06:49:27
35
ABC momy :
nyimbo za Ambwene zinahisia kali
2026-09-12 04:30:28
19
Eze :
jina la wimbo plese
2026-09-14 07:11:47
6
mary@weremachiku girl :
Kuna mda unafikiria hadi akili inaisha mengine unaamua kumwachia mungu
2026-09-12 09:38:47
9
madam leyla🥰 :
Mungu anajua yote yali moyoni mwet Mungu 🥹🥹🥹
2026-09-12 03:18:56
13
davili khan tz :
Mungu Asante kwa pumzi nayoivuta kila siku bila malipo,, natamani mwisho wangu uwe wenye kukupendezaa Amina 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-14 16:25:38
7
Mbatizaji OG. :
Katika milima na mabonde Bila kuchoka Umesimamia Huduma yako. Hongera kwa 20yrs ya Huduma Dr Ambwene.
2026-09-11 22:20:47
6
joyce@ :
Kila nikikutanaga na huu wimbo huwa najikuta machoz yanatoka.. ee Mung Wang🙏
2026-09-11 20:29:47
10
Amisi Matisho :
eeeee Mungu wangu unirehemu baba 😭😭😭 Mimi sistahili baba kuli tamka hata jinalako eee yesu wangu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-12 06:33:07
14
iamprincewise :
Ameen
2026-09-12 03:34:16
6
wasai kibet :
amina
2026-09-13 15:43:49
2
Victor :
Vraiment vous êtes homme de Dieu,très inspiré
2026-09-13 06:26:37
2
unknown june28😘💸💰 :
nilikuwa nimeacha kuimba kanisan ila jumamos naanza kwenda mazoez Mungu anisaidie nisimame tena na anisamehe nilipo acha kuifanya kazi yake
2026-09-17 08:00:58
9
brack vampire :
nimeguswa Sana na wimbo uhuu🎵🎵🎵🎵.
2026-09-14 21:50:59
2
sarah :
wahoo
2026-09-13 16:52:19
2
Chuchuka :
MUNGU NI MWEMA SANA
2026-09-13 15:08:52
2
MIZAFAN #💯 :
amina🙏🙏🙏
2026-09-14 07:46:08
2
hunny bunny 💕 :
yes yes ooh Jesus
2026-11-06 10:31:45
1
Introvert girl💞 :
Mungu simama na mim kwenye maisha yangu usiniache hata hatua moja Mungu wangu🙏🙏
2026-09-13 18:53:22
3
To see more videos from user @hemanipodcast, please go to the Tikwm
homepage.