@giliana_essau_kalinga: Amosi 5:23[23]Niondoleeni kelele za nyimbo zenu; kwa maana sitaki kuzisikia sauti za vinanda vyenu. ACHENI NYIMBO ZA UPUUZI AMBAZO HAZIMPENDEZI MUNGU
Daudi alicheza mpaka nguo zikaanguka!kucheza mbele za Mungu sio kosa🙏
2026-09-11 10:48:13
1
allanwalestz :
waambie hao
2026-09-11 17:15:06
1
SOLO JAY :
Mungu akubaliki
2026-09-11 14:09:34
0
fiorentina :
biblia haija specify jinsi ya kumchezea Mungu, Daudi alicheza hadi nguo zikavuka.
2026-09-13 08:19:22
0
kipanga :
dada ubarikiwe n kweli kabsa
2026-09-11 09:06:04
3
Noelly belly_bear :
nyimbo za MUNGU zina wekwa sebene zina geuzwa disco MUNGU AWA SAMEHE SANA ATUTIE NGUVU WOTE AMINA❤️🙏
2026-09-11 14:30:57
1
Drummer kid :
wewe unaeongea ukweli hapa EAC
2026-09-12 16:45:35
2
bahatimgombozi :
hiyo ni kweli kabisa mungu atusaidie kwa kweli
2026-09-11 08:55:21
2
prakseda Antony :
ameeena sana mtumishi
2026-09-11 12:06:51
0
💥Edwin R.Ndelema💥 :
Ubarikiwe sana madam,Wengi tunajifunza mambo mema ambayo Mungu anayaketa kupitia watumishi wake, Lakini wengi wamefumba macho, Hakika sauti yake inaita,tunapaswa Kufanya matengenezo.
2026-09-12 20:06:20
1
shaddy@mb :
amen
2026-09-11 10:56:02
1
Glory wa Yesu :
Hakika
2026-09-11 10:31:04
1
MASAU MSABI :
zaburi 47:7 mana Mungu ndiye mfalme dunia yote
imbeni kwa akili
2026-09-11 09:18:37
1
Meshack Amri :
Amina
2026-09-11 18:58:39
0
Honest Girl :
nikwel dada
2026-09-11 16:18:21
0
Silas Fabian :
@Silas Fabian:hakika ubarikiwe sana dada kama nyie mnamchango mkubwa sana na Mungu anafurah sana🙏🙏🙏