Timoteo1])4/1 roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani wakisikiliza roho zidanganyazo na mafundisho ya shetani
2026-09-12 01:13:16
29
Lusambo Prosper :
Ila Zuma kwakujiamlia Mambo
2026-09-11 11:09:58
35
baby deeh๐ฅฐโค๏ธโค๏ธ :
mala paah akawa mungu kweli nitaweka wapi sura yangu๐๐
2026-09-14 09:02:24
9
reby :
hv hawa mbona wamefungwa sana ufahamu MUNGU naomba wafungue hawa watu maaana daaaah kama nikufungwa wamefungwa naminyororo
2026-09-11 18:53:19
20
shamilakasenegala :
ila watu duuuh aseeee et Mungu mm siwez kutubu kwako bhana nitampipia Mungu mwenyewe maana imeandikwa alaaniwe mtu amtegemeae mwanadamu kuwa Kinga yake sitaki
2026-09-11 12:05:36
19
servant.moo29 :
Naona huruma roho za watu ote hao nazo zinaangamia nyie Mungu naomba tupe macho ya kiroho jmn
2026-09-11 12:56:16
16
Dalmatius P.G.F :
mbona sasa anatuchanganya yeye ni mungu alafu amembeba mungu mi nashindwa kuelewa
2026-09-12 06:30:19
10
rose ally :
NAPASWA KUTUBU KWA YESU NASIO KWAKO
2026-09-11 10:45:27
14
jojo :
hivi hawa watu wanalipwa hela au vp
2026-09-12 01:02:15
5
seche :
mungu nipe macho ya rohon, nione Ile kweli yako kupitia jina la yesu kristo
2026-09-11 13:51:27
5
winiee :
๐๐๐ baba zumaridi๐๐๐ ila Mungu mvumilivu sanaa jamaniiii daaaa me nisingeweza kuvumilia hakiii
2026-09-11 19:50:39
6
Anitha emiliani :
mungu kavimba uson
2026-09-11 10:34:21
9
LINAH SAMWELI :
hakika nyakat zamwisho zimefika tukumbuke mungu hafananishwi navikatun
2026-09-16 20:49:11
0
Hpma2 :
harikaaaaa nzuneeeee ooo Hao nao wanakushangilia jamani ama kweli Mungu anakutazama tu ila akikupa pigoo moja tu kwishaa
2026-09-16 06:41:49
1
CHITA BLOCK :
piriod je
2026-09-16 17:29:33
0
To see more videos from user @eliyazumaridiclemence, please go to the Tikwm
homepage.