@abiir_huwel: Afya ya akili inaanzia kwenye kujijali wewe mwenyewe. 🌿 Zoezi hili la kupumua kwa kina linasaidia kuuambia mwili wako kuwa uko salama, na kuongeza hali ya utulivu siku nzima. Fanya hivi mara tatu kwa siku na uone mabadiliko. Ili kuendelea kupata mafunzo zaidi ya kukuza utulivu wako wa kiakili, gusa link iliyopo kwenye Bio kujiunga na jamii yetu ya Safe Space. @amirah og #breathing #healingandmovingon #afyayaakili #swahilitiktok #maisha
I DONT UNDERSTAND THE LANGUAGE BUT YOU ARE ABSOLUTELY RIGHT
2026-09-11 21:46:22
2
Iman :
asante
2026-09-12 12:46:43
0
Mc vullu🎙️ :
Naomba uniad
2026-09-12 20:24:19
0
المكتبة العثمانية :
Mimi hufanya hivyo kwa kuzisoma Aya ndefu za Qurani mpaka nijisikie siwezi tena kuendelea kusoma, ndipo ninapoachilia pumzi.
Huwa nimepata thawabu 10 kwa kila herufi, na hupata utulivu wa ajabu.
Dunia ni shamba la Akhira.
2026-09-11 12:45:41
20
mwanahkhalfan🌹💞 :
Tulo Fanya nae tujuane🤣💯
2026-09-11 17:59:16
8
Raymond.25555 :
baad ya kufany hilo zowez nmejkuta nmevutiwa na ww san kiufup nmekupenda
2026-09-12 11:22:12
5
Said Abdulkadir693 :
you look smart 😍
2026-09-12 03:05:52
1
D Mamu :
nataka no yako
2026-09-12 09:00:04
1
zemres.b2 :
Mimi Kuna rafiki yangu alikuja kuniambia nimpeleke silent beach tulipofika akaniambia nimsimamie nyuma yy akapiga magoti na kuanza kulia sana Kwa sauti,alilia sana na Kwa uchungu badae akaniambia turudi nyumbani.ile usiku wake tukiwa room akawa anaperuzi mtandaoni huku anacheka.na Hadi Sasa ninamuona anafulaha sana.☺️☺️☺️tunawashukuru sana makansela mungu awabariki sana☺️☺️
2026-09-11 12:31:16
7
Ester peter :
Thnx🥰
2026-09-11 14:11:52
1
Asha Seif :
nikianza kulia sna wa kuninyamazisha ndugu
2026-09-11 09:21:24
1
angela :
Asante
2026-09-12 13:51:02
0
Mohammed Ally Fakih :
mim sikuoni whatp
2026-09-12 02:18:38
1
MAGDALENA... :
Mungu akutunze ubarikiwe
2026-09-11 12:04:07
1
🦋🌸Sweet umu🌸🦋 :
mbona nahisi kuliaa jamanii
2026-09-11 13:05:01
1
Selemani :
Sawa mimi nitaanza kuanza kufanya hivyo
2026-09-12 08:53:26
1
Mamu beib :
Group walipia
2026-09-11 20:59:15
0
lamha💋💋💋 :
nkupendaa dear🥰🥰🥰
2026-09-11 11:22:20
1
user9623617623348 :
Asante
2026-09-11 21:28:30
1
manizzo🔝🔝🔝 :
asante
2026-09-11 13:42:55
1
selemani :
me naona kama nimekuwa mwepesi akili inatulia
2026-09-11 22:08:11
1
SISTER DREAD :
shukrani
2026-09-11 13:10:43
1
D.A.X :
wow sahihi
2026-09-11 14:19:33
1
two 6 :
upo sawa
2026-09-11 15:58:36
1
To see more videos from user @abiir_huwel, please go to the Tikwm
homepage.