@meatpoint_tz: Nyau nyau 😂😂😅 #

MEAT POINT
MEAT POINT
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 09:02:20 GMT
1459351
97051
2124
3984

Music

Download

Comments

fly_girl208
Pearl pink :
samahani nafasi za unyau bado zipo wazi
2026-09-11 16:19:55
3777
amshariffah
…am-shariffah :
Kuna siku tulikula chips za mteja kumbe alitaka kufungiwa 😂😂😂😂
2026-09-12 04:54:16
1852
tuntuhbeautycorner
Tuntuh Wigs Mwanza :
Sikujua kama nyau wanaenjoy hivi😂😂😂
2026-09-11 18:56:01
702
winnie_braids
Winnie_braidstz :
😂😂😂😂😂 naomba kua nyau
2026-09-11 10:47:24
351
kijiwesang01
Capital Voice 🎶 :
haya ndio maisha halisi,sio content
2026-09-11 17:24:01
1025
1999hozzyboy
Sir H :
Niunge kwenye group la nyau tz
2026-09-12 14:21:36
211
kimariog10gmail.com
Madamg😘♥️ :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hao paka hatariii
2026-09-11 10:21:33
115
jesca.chenelo
Jesca Chenelo :
na mimi naombeni nije kuwa nyau wenu
2026-09-11 10:45:34
858
kolinx051
Kolinx_😇✝️ :
naomba nijiunge kwenye unyau😂
2026-09-11 20:30:52
24
officeagness
Office cute gyee :
nirijua tuuuu 🤣🤣🤣 mimi akibakisha muteja nafunga kwafoirii🤣
2026-09-11 19:04:24
23
innocent_vicent27
Mw@mba :
me kuna siku mzee wangu alinipa kazi nifanye pale home me nikaenda kuwinda Ndege nisipige kioo cha dilisha la watu wakanikamata bwana wamenigonga fimbo wakanipeleka mpaka home ila nafika home namkuta mzee anafanya kazi alonipa wanasema mzee mwanao kavunja kioo cha dilisha letu mzee akatuangalia kama sekunde Moja iv aka guna mmh nahisi mmekosea nyumba mbona me sina mtoto 😂😂 me nikaanza kulia hamna we ni baba angu mzee hapana mmekosea nyumba 😂😂🙌🤸
2026-09-11 17:04:09
129
official_jsm1
Miss Carolyn ♥️ :
Nyau mwingine nipo huku jmn
2026-09-11 17:14:15
13
user3875541049982
TOXIC JR :
naombeni hiyo kazi ya kuwa ñyau🤣🤣
2026-09-11 15:54:40
34
rosesulle3
it's Rose :
kuna mtu kasema nafasi za unyau bado zipo wazi😂😂😂
2026-09-14 15:17:07
51
ikerlove53
Ikerlove🌸 :
😂😂ad mm nyau snaga baya
2026-09-11 10:44:07
11
mc_20tz
Moses conductor media Mc-media :
😂😂😂😂saw nyau
2026-09-11 10:40:40
20
shadmaya.jaffar
Shadmaya Jaffar :
mnaotupa mafoil ya chips barabarani punguzeni pili pili mtatuua🤣
2026-09-14 19:03:49
33
mtoto.wa.baba668
mtoto wa baba :
😂😂😂 kwhy tunahudumiwa na nyau
2026-09-11 13:55:38
9
shadaymbamb1
🦋shaddie🎀 :
samahani nafadi za unyau bado zipo
2026-09-11 15:20:36
8
userbesta3691632930709
besta kinyenyi :
😂😂😂😂Kuna siku tulikula chips za mteja kumbe alitaka kufungiwa 🤣🤣
2026-09-15 08:14:30
5
an_twann
Anthony Newton :
Huyu ni paka wangu kabisa😭
2026-09-16 08:08:16
12
rudra_3103
Nassir_fighter🤛💪 :
naomba niwe paka wa iyo restaurant
2026-09-14 13:57:52
6
.3784454
𝖙𝖎𝖓𝖓𝖆𝖍 𝖙𝖆𝖑𝖑𝖆𝖍 37💀 :
Na mm Nataka kua nyau 😅😳😂
2026-09-11 19:35:48
6
trice.hair.beaut
TRICE SALOON MWANZA :
Me adi nilinenepa kwa kula mabaki ya wateja😋😋
2026-09-14 10:22:25
31
arafah4002
💫🦋🤍عرفة🌸arafah🤍🦋💫 :
Shingap Kama hiko
2026-09-11 11:20:49
9
To see more videos from user @meatpoint_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About