inaumiza sana kuona Mtu mzima anajielezea na kujishusha hivi 💔
2026-09-11 13:18:55
1019
Christine muema :
hebu sema bei in kenya money
2026-09-11 18:36:36
46
abu-iqbal :
boss uko na coil over za toyota 111
2026-09-12 05:54:08
0
zuhrakhalifan :
imeniuma sanaaa kumbuka huyu Baba NI maskini
2026-09-11 16:12:04
235
claudine mufumbe :
wamsamee😥
2026-09-12 00:00:59
0
Baby winnie❤️ :
Tumchangie Jaman
2026-09-12 05:43:15
0
👑Îtz_ Sam💎👑🎧 :
kumbe ni 500 za kenya[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-11 23:38:24
0
evode by :
kweri broii[Pray]
2026-09-12 07:08:44
0
official sasha :
mimi mkiekaaa namba ya kumchangia alipe hiyo pesa nitachanga maan nimefikiria ndo angekuwa baba angu anajielezaaa ivo ningejisikiaje
2026-09-11 15:42:33
283
user76038824552 :
Broo musiongee sana uyo ni mzee wetu mtafuten aeke namba tumsaidie musimzalilishe
2026-09-11 11:44:39
214
Ezidan :
Lengo lako ni nini sasa aje kununua kwako au
2026-09-11 10:48:29
120
Claritas K.Adolf :
😭😭😭😭Tumchangie
2026-09-12 03:01:25
3
Pilato :
Kiuhalisia boda boda na Bajaj huwa wanapenda kujiamulia sana mambo likishatokea la kutokea ndo huwa wapole na kutia huruma
Ila inaumiza sana hasara wanazoleta ..mda mwengine wanakugonga na wanakimbia
2026-09-11 15:31:36
18
💸💲ZBR ❎SANGA 🔥💥 :
10/10 tunaondoka chapu
2026-09-11 15:20:46
31
rey qeen💞💞💞 :
Taja bei inayoeleweka tumchangie wasimnyanyase mbaba wawatu
2026-09-11 13:41:50
96
Low-keys🚶♂️ :
Kiufupi atakuchekesha kama sio baba ako🥹
2026-09-11 13:10:52
35
MSHALLY Tz🏹 :
ntanunua gari kwel mm
2026-09-11 14:43:06
7
neynar192💦 :
baba zetu wanapitiaa mengii katika kutuangakiaa hili jaribu litabadilisha maisha yake🥺
2026-09-11 17:47:10
29
Nest King💙💥 :
kwahiyo umeamua kufanya biashara mwanetu
2026-09-11 11:06:38
51
GinimbitzMkatoliki :
Naomba kumchangia huyo Baba M2 nampataje mwenyew mawasiliano please
2026-09-11 14:00:19
78
jumamkumba815 :
shida hiyo kuwangonga wote
2026-09-11 14:44:45
7
External :
mtafute mzee tumchangie ndg yetu
2026-09-11 11:19:30
31
TARIQ 💫 :
Hivi Tanzania kuna mzima kwelii leo nimemkuta baba angu analamba sukari 😂
2026-09-11 11:15:35
20
Nicodem Mabala :
bima ndogo ndio ninj?
2026-09-11 15:27:40
39
To see more videos from user @wakojacko.spare.p, please go to the Tikwm
homepage.