@coolnews24hrs: Huu ulikuwa ni mchezo wa watani wa jadi kati ya Liverpool na Manchester United kule Anfield (2022). Cristiano Ronaldo alikosa mechi hii baada ya kupitia kipindi kigumu cha kuondokewa na mwanae mchanga wa kiume aliyefariki wakati wa uzazi 👼💔. Licha ya upinzani wao wa jadi, katika dakika ya 7 ya mchezo (kuheshimu jezi yake namba 7), uwanja mzima ulisimama! Mashabiki wa Liver walinyanyua mitandio, benchi la ufundi, makocha na wachezaji wote walisimama kumpigia makofi ya heshima na faraja 👏🤝. Mashabiki wa Liverpool waliiimbia familia ya Ronaldo wimbo wao maarufu wa "You'll Never Walk Alone" kuonyesha hawako peke yao kwenye maumivu hayo 🎼❤️. Huu unabaki kuwa moja ya uthibitisho mkubwa kwamba soka lina utu, huruma, na ubinadamu unazidi ushabiki na pointi tatu! 🫡⚽ Follow @coolnews24hrs For more 🙏 🏆 ⚽ #RespectMoments #manunited #CristianoRonaldo #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp #viralreels