@eindigitaltz: Tunawaahidi Mashabiki Kwamba Mechi Tutaimaliza Mapema Ndani Ya Kipindi Cha Kwanza Na Kupata Ushindi Mkubwa Sana - SELEMANI MWALIMU Mtazamo wako ni upi kwenye hili?, Tupe MAONI Kwenye Comment
EINDIGITAL TV
Region: TZ
Friday 11 September 2026 09:25:26 GMT
Music
Download
Comments
ford :
utazani anajua hata uo mpira[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-09 15:23:28
2
Happy Alex mrosso :
sele weeeeee karibu jangwan[Red heart][Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-09 14:27:04
0
Khaiya ❤️ :
itaishaje[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-09 12:23:55
1
BABY❤️ ZUUH OFFICIALL :
Uzur saut ya mtu anaetak kulia tu naijua😂
2026-10-09 11:29:11
44
tenfoz_arts🍗😮💨 :
ngoja niitunze hii vidoe kbsaa
2026-10-09 17:09:28
2
official_ jack🥰 :
mimi yanga lakini simba wanafunga
2026-10-09 11:06:20
12
user74212177851502 :
mmh [Laugh approved]ngoj tuone tunavyokujua mmh
2026-10-09 10:41:21
1
Lizzy Gipson :
ushakuwa mwehu sikuiz[Tears of joy]
2026-10-09 13:09:10
15
T.shop pointer :
kesho ndo unanxa juina simba watakavo kuudhi
umehama kipindi ambacho furaa inaingia
2026-10-09 12:08:51
7
Zainabu alli Mtalika :
Ushindi ni wetu asilimia 💯
2026-10-09 11:24:19
4
Jemoh🍬🍬 :
saw kesho utanieleza
2026-10-09 12:25:17
4
labile :
Selemani kachanganyikiwa
2026-10-09 17:34:27
2
Immanuel B Maloda :
Ee mwenyezi mungu tusaidie wananchi kesho tuweze kuoata alama tatu🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-09 11:25:02
4
adammsuya152 :
ikawe heri kwetu wananchii
2026-10-09 14:57:57
2
Emos G :
2026-10-09 12:23:34
1
official@sandland ktr :
yuda
2026-10-09 11:42:35
1
recho Mather :
Amina ishallah
2026-10-09 11:39:11
2
Nurath Yassin :
inshallah
2026-09-11 12:36:10
1
Hamisi ngulangwa🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
inshallah mungu ijalie yanga yangu💚💛💚💛💚💛💚💛
2026-09-11 11:01:53
5
ajuu :
Amina ishaallh mungu atufanyie wepesi katika mchezo wetu wa kesho💚💚
2026-09-11 16:26:36
2
jindelaizer :
😁😁 ww
2026-10-08 19:07:50
1
Mariam Mwanitega :
ameen
2026-10-08 13:36:09
1
Asha Kasim :
Amiin 🙏🙏
2026-09-11 17:46:17
1
luqman seif :
clip ya zaman hiyo yanga vs Gaborone
2026-10-09 12:33:35
2
jmomachiya :
hazungumzii mach ya simba na yanga
2026-10-09 12:42:37
1
To see more videos from user @eindigitaltz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.