@user876762426693:

0664026922
0664026922
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 09:33:41 GMT
35919
2329
82
52

Music

Download

Comments

jeshii.tz
JESHII TZ🇹🇿 :
Hio inaitwa 5 bora kijeshi
2026-09-24 14:12:07
20
samson.michael41
Samson Michael :
Acha kuharibia watu kazi
2026-09-24 08:53:01
16
josephjoseph7406
josephjoseph7406 :
lazima utakuwa mwalimu
2026-09-24 07:34:51
7
machibyarichard69
Machibya Richard :
Aliye Post hii Picha Siyo Poa Kabisa
2026-09-24 02:49:22
12
waridijohn7
🌹🌹♥️ :
Vibaya ivo kumfanyia mwenzio
2026-09-25 09:33:59
2
sadam.umande0
BABA T👬 :
binadamu ndo wanafanya binadamu wezao waonekane wabaya kwao Sasa imagen mtu yupo kazin kwake yeye anamrecodi afu akamwona akamfanya kitu amna je kutokuwa na makosa kwer apo
2026-09-24 18:46:04
2
msafilisamweli
Msafili Samweli :
nimekuona kamand
2026-09-25 11:30:09
2
chiamba78
MAKAYABOO🇨🇩 :
Jamaaa kazingua 🇨🇩
2026-09-24 16:22:40
2
sabatochiaragegma
[email protected] :
ukisikia asikari kapewa 5 ndo hiyo maana yake siyo kosa ila ariye post ndo katumia makosa sana
2026-09-24 15:30:56
6
maulidimkwango156
mau msela :
unanikumbusha mbali sana wakat nasimamia mtian nikawa nakura 5
2026-09-24 22:17:11
3
user6517900956930
THOBIAS_ERASTO :
jaman shule gani hiyo
2026-09-24 18:42:58
1
gagarinho_77
gagarinho_77 :
😂 Jeshi la Akiba
2026-09-24 03:39:04
3
tuni.mass
zmass :
muacheni apumzike jamani
2026-09-24 19:03:39
1
noreenmkumbo
Noreenmkumbo :
kak wapi hapo
2026-09-24 19:15:15
1
user9786391085171
[email protected] :
Duuh aisee hii mbaya sana unamchukuwa mtu pic unampost noooo
2026-09-24 15:38:03
1
user560023960760256
kaka d :
Ukitak ku comment unafanyaj
2026-09-24 17:32:18
1
kyamala.2014
kyamala 2014 :
apo mtiyani wa lasaba
2026-09-24 09:48:27
2
mwigakatumpula7
mryampate! aka mla njugu mawe! :
usingizi sio jambo la kushangaza maana unaweza kumpata mtu yoyote yule
2026-09-24 13:41:53
2
user20004948346
max boy 🥳🥳 :
ndy
2026-09-13 18:03:22
2
kivuli.cha.kuwaletae
kivuli Cha kuwaleta :
hiii mbaya mzeee
2026-09-24 07:47:45
1
busega_boy_44
BUSEGA_BOY_44@🇹🇿🇹🇿 :
dah mwamba alikua anasimamia paper la darasa la saba aseee sema MG some time maisha yao nimagumu kinoma nimewahi simliwa na MG mmoja nilimpaga lift katika story akaniambia anawahi kwa kwenye ofic ya rpc akapate nafasi yakusimamia mtihani ilikua 2024 leo hiii post imenikumbusha aseee jamaaa aliniomba nimuwaishe kinoma mungu awatie nguvu wasukume gurudumu la maisha yao🔥🔥
2026-09-24 17:46:23
2
user7925991939613
GAK :
sasa ndo nn iv
2026-09-24 09:38:02
1
emmanuellazaro.mw
Emmanuellazaro Mwanakatwe :
kawaida kwan nn ajabu apo
2026-09-24 07:58:54
1
allyjuma936
ally juma :
5 bola
2026-09-25 08:48:03
0
batholomeomagesa
BATHMAGES🤕🤕🤕 :
wew mwalimu😅😅
2026-09-24 10:53:37
0
To see more videos from user @user876762426693, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About