aslm alaykum warahmatullah, je sanda ya maiti wakike ina mita ngapi na maiti ya kiume ikona mita ngapi?
2026-09-11 11:53:55
3
montanamontana712 :
mambo haya ndio nilitamani mashekh washinde mitandaoni kupigania kuenea kwa elimu kama hizo na nyengine na sio kushindana maulid na ziara hali ktk jamii huku watu hawajuw hata kutawadha
2026-09-12 07:11:00
31
Arab Money 💰and tuffah :
maiti mtukufu wakike ustadhi Allah pekeyake ndo aliye tukuka ama mm ndo nakosea
2026-09-12 13:05:06
2
BASHIR :
tena kuosha maiti sheikh pia kafundishe namna yakuosha sheikh mungu akujarie afia nzuri na jana firdus
2026-09-12 05:02:58
8
Umande555 :
Assalaamu a'laykum
sheikh shukran tumepata faida ila nina ombi utuandalie pia darsa la namna ya kumuosha maiti🙏
2026-09-11 19:18:58
12
vAx hd :
kheri iwe juu yako kwa kutoa ujuzi huu kwa umma[Pray]
2026-09-12 07:25:36
8
The only :
As.ssalam allaykum
shekh huwa naona huwa inashonwa vp kuhusu kuishona sanda
2026-09-11 12:18:05
2
Ishaka Zanzibar Tours :
unashtakiwa kwa kuizalilisha INFINIX 😳
2026-09-11 12:15:56
1
mwana tz :
yaraby tujalie mwisho mwema
2026-09-12 12:46:56
1
Alkaburu :
Haya ndio matumizi mazuri ya mtandao
2026-09-13 07:25:12
3
Abdulqadir :
mashallah ustadh asante kwa darasa zuri kabisa kwaajili ya safari isiyoepukika allah akupe umri mrefu wenye manufaa 🙏
2026-09-11 16:32:59
6
ummy Nasser 😘 🇹🇿 🇶🇦 💞🙏 :
Innallih wainnailaih rajiun,😭😭😭nmepoteza kaka angu jana kwa kukatwa namapanga wakimuibia bodaboda
2026-09-12 12:10:17
0
omarinyakungo :
tunashukuru mwarim tupe erim ya maiti yakike pia tupate Friday.
2026-09-12 14:03:55
1
Hawey.tz❤️ :
shukran mwalm lkn nin swali kwann untumia maiti mtukufu? kun hekm gn y kusem natk kujifunza
2026-09-11 16:55:18
1
Fredy man 05 :
tufanyen ibada ndugu zangu katka imani ili Allah aturidhie
2026-09-15 17:55:04
0
أسد الله الغالب :
ماشاء الله بارك الله يا شيخ امنك الله في اموورك
2026-09-11 11:59:36
0
Hawey.tz❤️ :
asantem
2026-09-20 14:59:31
0
shebughe mndolwa :
mwenyezi mungu akulipe kila la kheri
2026-10-03 16:33:55
0
Aliyazid :
mashaa ALLAh
2026-10-14 08:36:42
0
maalim ndago :
shukran
2026-09-16 18:47:07
0
Rajabu Kanji :
Asante sana kwa elim
2026-09-16 06:45:51
0
SADICK MOHAMED :
Mungu akulipe kheri umenipa elimu
2026-09-15 18:12:05
0
Nay350 :
jazakaallahu kheri
2026-09-15 16:53:15
0
mahmoud :
mashallah
2026-09-11 12:13:55
0
To see more videos from user @nurudinikishk, please go to the Tikwm
homepage.