Konde boy angepita apo mbn inchi ingesimama kwa mda 🔥🔥🔥
2026-09-11 13:35:09
28
Johari💕 :
Leo hiyooo🙌
2026-09-11 20:34:40
0
👑 :
To the hustle my brother ✌🏾
2026-09-11 19:17:09
0
Dominick lymo :
kama unanyimbo za kontawa zaidi ya 20+ gonga like hapa
2026-09-12 06:52:48
12
5G ematho tz :
umetisha kinomanoma yani🤝 BIG UP bro
2026-09-11 17:12:37
0
🧨 belFour4🧨 :
kontawa vp young tusso ume mwacha wapi
2026-09-11 13:53:32
4
it's gee✨️🫂💕 :
my artist🤟🔥
2026-09-11 15:43:54
0
erynest_khan👑 :
huyu sio kontawa ni kingtawa🫡🔥
2026-09-11 10:31:08
0
SMALL ⚽️⚽️ :
nice music 🔥
2026-09-11 14:23:37
0
K!ng~○f~$mil£♤ :
kwa heshima kaka
2026-09-11 18:43:38
1
jenistar jr :
I love you
2026-09-11 09:53:07
1
HANKANA HANKANA :
umetisha sana kk ila naomba ufanye ngoma moja na manto naomba kk🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-11 20:28:35
4
kasine :
commenté zetu hua Zina futua ama? hâta tupeane ushauri hua haut sème Ila ushauri wa wasanii wakubwaaa commenté zao Zina fika zetu hazi somwi eti commenté zetu hazi faï eti? @kontawa ao zetu ni kelele??? nipo shabiki wako Toka Dr congo butembo
2026-09-11 17:11:37
3
💘shey queen💝💘 :
napenda nyimbo zako nikipiga geto mwenyew Naona rahaa sema nmezungukwa na vibib vinasema matus wakt mm naona rahaa[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-11 17:49:48
0
itc_kanibaah🤑🤑 :
Tawa to the world 🌎
2026-09-11 10:17:43
4
@damtronic sound &CCTv officia :
hiyo ngoma kama alinii imbiya mm yan😄😄
2026-09-11 10:06:31
2
𝖘𝖍𝖎𝖍𝖆𝖓𝖌𝖍𝖔𝖔 :
bro una kiswahili flan iv had nkiwasimulia watu hawaqmin kam ulimaanisha ninanyimbo zako nying ila GEREZANI umeuwa😎👍
2026-09-11 15:47:06
2
👹Scotch ®️ 👹 :
kaka kwenye hii ngoma nakupa asilima 100% RESPECT FOR THIS SONG🔥🔥🔥🔥🎤 MY BROTHER KONTAWA
2026-09-11 16:41:17
1
Hk Brand Tz 👑💫 :
Tanzania hakuna kama kontawa 👑🎤🎧🫡
2026-09-11 10:16:10
1
ℳa⃨i⃨ηꪮ3⃨1⃨1⃨0⃨ :
Jakooh
Me nachekaga tu
mbona ujapita nayo iyo voice uwaga noma sana kabla goma halijaanza
2026-09-11 10:30:45
2
lucy official%% :
Ila mm nilikusifia ata hujanitaja daa Ila nakupenda tu ivoivo😭😭
2026-09-11 18:38:37
1
Shan-boy Karnapa🇹🇿✅ :
nakubali 💪
2026-09-11 10:18:39
1
Laben Tz :
respect m'y brother 🇨🇩🇹🇿
2026-09-12 08:02:14
0
💴💰 KUNKAN💪🇺🇲🇮🇷 :
kontawa nitafte DM Kuna show inatakiwa ufike katoro
2026-09-12 07:51:56
0
moudybam :
tawa zaid ya efill
2026-09-12 09:07:33
0
To see more videos from user @heistawa, please go to the Tikwm
homepage.