@pascal_mushi12: Wewe unachemsha nyama kabla ya kupika au unaloweka nyamaa..😳🤣? 👉Unapendelea kutumia viungo gani wakati wa kuchemsha Nyama..?? #cheftips #Chefpascal #Cookingtiktok #viungo
Mi naipenda saut yako basi Achana na nyama kwanza kijana 😂😂😂
2026-09-11 10:41:15
103
kekuu :
unafundisha vzr and simple, thanjs
2026-09-12 17:04:30
1
Pascal's Kitchen :
1. Kitunguu + tangawizi + kitunguu saumu
* Hii ni classic; inapunguza harufu kali ya nyama na kuongeza aroma.
2. Kitunguu + karoti + celery
* Inatoa ladha ya kina na harufu nzuri, hasa kwa beef stock.
3. Tangawizi + kitunguu saumu + pilipili manga
* Nzuri kwa nyama unayotaka baadaye kuichoma, kukaanga au kuweka kwenye sauce.
4. Kitunguu + bay leaf + black peppercorns
* Combination nzuri ya hotel/restaurant kwa kuchemsha beef au goat meat.
5. Kitunguu + karoti + tangawizi + garlic + coriander stems
* Hii ni nzuri sana kwa nyama inayokwenda kwenye stew, curry au gravy.
2026-09-11 09:51:51
112
chia :
sasa supu yakunywa jikoni nitapataje boss [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-12 05:47:34
5
Soah Jr. :
Hungarian Goulash is the best 🔥🔥
2026-09-11 16:26:28
6
Coletha Mwambigiri. :
shida sasa tunataka hiyo supu kwa ajili ya mtori na vyakula vya watoto hapoooo
2026-09-11 11:45:28
34
Megacarwash :
i like to marinate with lemon, curry, ginger,salt garlic overnight then inajichemsha na maji yake asubuhi then naongeza maji kidgo
2026-09-11 12:47:39
8
@CAMARY24 kenya :
Are you Kenyan coz weuh unaongea Isha na shairi anyway love from kenya[Red heart][Red heart]
2026-09-12 04:42:52
7
Supreme Crypto :
what is blackpaper na hiyo rozimwry ni nini?
2026-09-11 18:41:50
0
CeeCee😍🥰_dollar💸💸💸💸 :
Thanks
2026-09-12 04:39:56
0
The guy from Russian :
Tufundishe jinsi ya kuandaa nishkaki
2026-09-11 17:56:01
4
ammy :
achana na nyama kwanza nakupenda
2026-09-11 19:10:49
2
cathe🍒 :
Kaka achana kingereza ongea tu kiswahili
2026-09-12 06:50:03
0
khaleed :
mimi nilifanya bila y maji nikakuta majivu😁
2026-09-12 12:33:57
0
ChooserHD :
Hadi unameza mate🤣🤣
2026-09-13 11:57:57
0
Brayoo :
Shukran sana kaka
2026-09-11 19:25:36
0
JABU :
Yaaan koote nimekuelewa ila hiyo Black paper ni nin…..???
2026-09-11 17:55:29
2
Nour_El _Einy :
Naomba matumizi ya brokoli
2026-09-11 10:42:25
3
Erick :
hio si shida..Upike masaa mawili then ule kwa dakika kumi
2026-09-12 07:00:47
2
AKE :
Na kama nachemsha kwenye pressure cooker?
2026-09-11 17:05:34
1
Buster :
Mbn nyama za kijijini huwa ni laini na hazina viungo na nitamu
2026-09-12 03:45:18
1
Da naa♥️🌹😘 :
njoo Oman nyama inajazwa maji alafu ikichemka wanachuja lile povu ikiiva wanamwaga supu yote kisha michuzi wanaweka maji mkono wasweeta warabu jaman😁😁😁🙌🙌🙌
2026-09-11 11:29:37
1
Sweet chocolate 🍫 :
Kwani ukinioa kuna shida bby wangu mtarajiwa [Big LOL]
2026-09-11 14:51:43
2
Angel zee :
Jaman hivi hiyo pilipili yamafuta ngoja jion nimuambie da pipi anipandishe nikutolee dukuduku au niende kwenye cheche
2026-09-11 14:41:52
1
To see more videos from user @pascal_mushi12, please go to the Tikwm
homepage.