@lovedisaster1: Ujumbe wa siku 📌

LD
LD
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 09:52:50 GMT
19250
963
57
38

Music

Download

Comments

kandymalikia.8.8
💸𝔻ᴏ𝔩𝔩𝕒𝐫⚜️✨𝗞𝕒n𝐝y🩷💙✈️ :
hakuna ubusy kwa mapenzi uo upuzi tu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]hayo maneno ya kanga tumeyazoea t
2026-09-11 17:27:53
0
junegyal3
junegyal :
hehe it's true
2026-09-11 16:28:43
0
rebbygr0
Rebby 🫶 :
ila Kuna huyu wangu wiki unapita hajakutft mmmh at kama jmn
2026-09-11 12:24:01
4
jayphar4036
hearean✨baby💝 :
jamani ndozidi kuchanganyikiwa wangu hata usiku mwema hakuna kheee
2026-09-11 14:23:29
0
maimunamwalongo
Nesta🥰🥰🥰🥰 :
Mtuache mnatuchanganyaaaa sasa
2026-09-11 15:18:23
2
karesh204
karesh :
kwa mungu ndio kuko salama..
2026-09-11 12:02:10
0
p....daud
precious :
Mungu atuepushe na wanaume za watuu
2026-09-11 11:29:26
5
nshimirimanaaish37
Nshimirimana Aisha :
Point
2026-09-11 10:33:28
1
latifa3941
Lisa B :
Hakika
2026-09-11 10:43:53
1
sheymchaga65
lastborn🥰🥰🥰 :
sahihi kaka wanawake tunafel sana kwenye mawasiliano mwanaume mwenye majukum na kazi awez kukujib kila siku kwa wakat pil uyo anayekujibu anakuingiza kwe ye mtego akishapata anachotaka bas nae anakuwa busy😂😂😂😂
2026-09-11 16:25:26
1
aisharamadhani.sh
aishaRamadhani Shomary :
kwakwelii
2026-09-11 10:07:07
1
cutieelzie
cute elizze 👄🦋🦋 :
nabaki na nahuyu nilile nae hata kama anachelewa
2026-09-11 19:35:56
0
fatma.mussa14
Fatma mussa :
lakin kiukweli anaekupenda lazima atakumisi jaman,japo Kwa siku simu au sms lkn kimya kimya bado useme anakupenda,km yeye bubu Mimi nageuka marehem sifulukuti 😏
2026-09-11 16:02:50
0
paty32216
paty💋💓 :
kaka kuna muda inabidi tukubali ukweli mapenz yakiisha yameisha mtu yupo kimy miez 3 bdo unacma anakupenda jmn nachok me
2026-09-11 20:39:58
0
minah.joseph0
Minah :
Ndugu yangu ushauri wako kwakweli Kuna wakati una tuchanganya Sana .Mimi Nisha biki yk lkn mpaka leo sijajua umesimamia wapi ndugu yangu
2026-09-11 12:21:54
1
treasure.wts
treasure wts :
eeeeh sa nd unambie ukwel jmn😳
2026-09-11 16:39:29
0
madamesally2
de sacher :
uwongo banah mapenzi mawasilianoo asakam ajibu Zang kwawakat anajibu zananiii mm nadili nauyo uyo anaejibu kwawakatii banah
2026-09-11 19:27:42
0
user67373577280196
fety moyo :
alokuw hajib man nnamwez sijibiw
2026-09-11 15:35:01
0
mama.khashil
Rey joe :
ata kama ndio wiki2 ndio ata salam hakuna [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-11 15:21:54
0
salmzidi643
salmzidi :
sasa mm mzigo wangu niupi😂😂😂 nachoka mm mwenzenu
2026-09-11 21:00:39
0
sittyrichwear0
SittyRiChWeAr🛍️👟👕👗🥾🧢 :
Mzigo wangu ni kwamba nikituma sms anaona iswetabu anapiga tu afu maneno yake ni matatu vipi mama uko poa unacangamoto gani hapo home
2026-09-12 04:50:03
0
mylum58
mylum :
kwahiyo ata mimi anavyo.nisubirish kuna mwingine anajibu basi acha tuchanganyikiwe😂😂😂 hakuna kubak
2026-09-11 15:39:29
0
butterflyirn68gmail.com
💫Mama Jimmy 🦋 :
tuache kujipa umhim kwa wasioona thamn yetu
2026-09-11 12:03:13
1
To see more videos from user @lovedisaster1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About