I'm tied to say this to My friend 😏 they think I'm crazy
2026-09-12 04:15:59
2
Msafiri Khansa :
thank you so much my brother
2026-09-12 13:47:55
0
gboy :
but this guy is racist why don't spoke about muslim perhaps spoken about christianity
2026-09-12 10:15:45
0
Christopher Ngonyani :
hakuna mungu wakutusaidia waafrica tufauti na kaz
2026-09-11 16:30:48
25
Daudi Mathias :
nigeweka status ila sema mimi ni mzee wa kanisa ntaambiwa nimekengeuka..😂
2026-09-12 05:31:52
17
iddi_amini :
big brain
2026-09-11 19:02:28
0
Likestar :
kabisa dini zinatupoteza dana waafrica.
2026-09-11 16:41:11
10
Patrick's :
respect 🫡
2026-09-11 20:41:21
1
Kufa lazima :
tunge pata viongozi kama huyu Africa tunge fika mbali sema sasa mengi mazezeta
2026-09-11 17:09:42
14
mtoto wazamani :
na anahutubia watot kbsa ili waelewe kuwa hakunaga kitu inayo itwa miujiza ili upate maendelea lazm ufanye kaz na sio kusubiria muujiza asante captain traore
2026-09-11 18:25:34
11
Hassanblack🇳🇴🇹🇿 :
Dini zote sio mbaya hila wanaiongoza hizo dini ndio mazombie kabisa wanatumika kutugawanya kutufanya tusipendane wakati dini imeeleza upendo na kumjua mungu na kufanya kazi kwa bidii kupambana na umaskini na maradhi na mambo kibao
2026-09-12 09:14:32
1
Yuzoo :
kazi kwa bidii ndio mungu wako
2026-09-11 19:45:47
6
T Five :
Wazungu walitukuta tuna ardhi na wao wakiwa na bibilia, walituambia tuombe tukiwa tumefumba macho na tulipofumbua macho tulijikuta tuna bibilia na wao wakiwa na ardhi. 🔥🔥🔥🔥
2026-09-11 21:54:12
5
Asimwe 07 :
ee Mwenyezi tujalie rais kama huyu
2026-09-11 21:11:13
5
CHEMY :
katisha sana mwamb
2026-09-11 18:19:44
6
RUHEGANGU :
turaore&tundurisu nawaombea kwamungu sana
2026-09-12 11:00:50
0
John Z :
nasubiria maoni ya wafia dini hasa wa dini yake wanaotukana dini za watu wengine
2026-09-11 17:34:28
11
danny_brown_tz :
respect uyu jamaa yupo mbele ya muda sana kama ameweza kuliona ili na kulisema wazi
2026-09-11 18:59:04
11
Hassanblack🇳🇴🇹🇿 :
huyu ndio alitakiwa awe Raisi wa Africa nzima
2026-09-12 09:12:20
1
🗣️ Young_Man.🇹🇿 :
inawezekana Dini ikawa sio mbaya lakini inatumiwa vibaya
2026-09-12 04:39:34
4
Jesus..Lizard :
Kuna Rais wa kuhipambania Africa pamoja na wananchi wake pamoja na nchi yake huyu Ibrahim ni Fire Ila njoo Tz wapo busy na kununua magoli
2026-09-12 08:56:28
3
user6530275316913 :
Tusipofanya kaz hat Mungu mwenyew anatuon hatuna akili 😂
2026-09-11 20:48:43
3
Prince unique :
nizamu ya bukinafaso SASA 🔥
2026-09-11 20:39:19
1
gweno boy :
salute Traore
2026-09-11 18:20:49
2
To see more videos from user @hmahalu, please go to the Tikwm
homepage.