@lazarojoseph47: kauli hii ni kauli hatari sana kwa taifa letu.zinapotolewa hadhalani harafu mtoa kauli anakuja kusema mnisamehe kirahisi tu bila kuchukuliwa hatua hii

Lazaro Joseph
Lazaro Joseph
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 10:53:28 GMT
124474
6056
595
463

Music

Download

Comments

yusuph.sikukuu
Yusuph1704 :
Odemba mungu akuwekepo apo juu
2026-10-12 05:57:22
12
user2374228169307
john :
mbona Lisu alishtakiwa kwa Uhaini kutokana na maneno tu?
2026-09-14 07:58:56
33
user3547976133913
majama fiber glass :
odemba nakubali sana mw/mungu akupe afya mjema
2026-09-12 16:13:54
49
gracejohn022
gracejohn847 :
hapo ndo ilikuwa mwanzo wa mimi kuichukia ccm kwamba tukiwapoteza msiwatafte na kweli watu wakaanza kutekwa kuteswa kuuliwa afu sijui anaongea nini
2026-11-04 18:35:39
6
joseph.jofrey.msen
Joseph jofrey msengi ambush100 :
mbn lisu hasemehewi
2026-10-29 07:07:36
6
user3233638000048
Yusuph Malongo :
tunafanywa mambumbumbu anajuwa Kila kitu Respect Odemba
2026-09-13 02:45:50
23
zena.salim82
Zena Salim :
usifananishe mzazi na mtoto unajua vizuri mnakowapoteza
2026-10-14 18:54:15
5
happine914
Mrs ibra :
Huyu kaka simjui lkn hiyo kauli hapana jmn,inawezekena kweli anajua ndugu zetu wanaopotea mahali wapo msichukulie masihara wa TZ
2026-09-14 17:13:45
9
mnemhelamasumbuk3
Mnemhela Masumbuko :
siku meza imepinduka kuna watu watajuta kuwepo tz
2026-09-12 10:35:19
14
charles.maziku76
Charles Maziku :
huyo ndo anafahamu walipo.
2026-09-12 07:57:51
6
japhet.maganda
Japhet Maganda :
kumbe ccm ndio inapoteza watu?
2026-09-20 04:17:41
3
user8699675208523
Sevistiano :
ingekuwa mahakamani ameshindwa kesi
2026-09-17 09:01:09
3
02289madlenka
Madlenka Jones :
V.A.R🤣🤣🤣
2026-09-12 20:43:29
5
khatiburashid592
Khatibu Rashid :
huyo anajua walipo
2026-09-12 16:38:26
18
irene.peter822
IRENE PETER :
😭😭😭mung yupo atajibu
2026-10-29 08:26:09
7
debrah.innoz.beb
Debrah Innoz beb :
tz stand up
2026-10-11 09:14:52
1
salminsalim30
salimnsalim376 :
jmn nizahir mauwaji yote na utekaji umefanyw na hawa watu
2026-09-12 12:26:35
8
sjeijejhejje
charlesmkono37 :
unapa swakuwa makin maneno yako kaka
2026-09-15 00:56:14
0
matha.jacob2
Matha Jacob :
odemba anajuwa ndugu zetu walipo hembu awe mkweli tu maana familia zinahangaika
2026-10-29 07:35:41
8
kikoti.255
kikoti🇹🇿🇰🇪 :
ODEMBA ODEMBA ODEMBA, 💪💪💪💪💪💪
2026-10-12 10:10:09
3
kyabuguta
Kyabuguta :
Tamaa inatabia ya kuzaa dharau, yani hadi simu inaitwa kisimu.
2026-10-12 03:01:22
2
joanitajoely
Joanita Joely :
jibu swali na mimacho iyo
2026-10-05 07:07:17
2
user211571171017
mr machungwa,,👍👍 :
huyu anajuwa walipo
2026-10-12 04:54:38
2
widoprince2
@wido prince :
Binaadamu akipata cheo kidogo tu kibri kinakua kikubwa
2026-09-13 16:37:38
4
lazarodaniely4
Anco D🇹🇿 :
kwan muktadha yenyew inasemaje😂
2026-09-16 22:11:58
1
To see more videos from user @lazarojoseph47, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About