@hep.b.liver.hub: 🚨 DALILI 7 HATARI ZA HEPATITIS B Kama una Hepatitis B, usipuuze dalili hizi: 🔴 Tumbo kuvimba au kujaa maji 🔴 Miguu kuvimba 🔴 Macho na ngozi kuwa njano 🔴 Kutapika damu 🔴 Choo kuwa cheusi sana 🔴 Kuchanganyikiwa au usingizi kupita kiasi 🔴 Uchovu mkubwa, kukosa hamu ya kula au kudhoofika sana ⚠️ Dalili hizi zinaweza kuashiria madhara makubwa ya ini, kama cirrhosis na mkusanyiko wa maji tumboni. Usisubiri hali iwe mbaya—tafuta huduma ya afya na fanya vipimo haraka. 📌 Hepatitis B inaweza kukaa kimya kwa muda mrefu, lakini madhara yakianza kuonekana hatua inaweza kuwa imeendelea.+255776740443 Kwamsaada wa karibu #creatorsearchinsights #afyayaini #livercare #liver #villa

HEP B LIVER HUB
HEP B LIVER HUB
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 11:39:20 GMT
23
1
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @hep.b.liver.hub, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About