ILA MWENYEZI MUNGU ANASEMA MSITILI MWENZAKO NAWE ATAKUSITIRI SIKU YA MWISHO KUMBUKENI HILO JAPO KAKOSEA HAINA HAJA YA KUPOST MTANDAONI🙏
2026-09-11 12:48:53
20
Sultanj7 :
Mstir mwanadam hatakama ni mhalifu mpelek kwenye vyomb vya Sheria kuliko kmfanya hivyo
2026-09-11 14:04:56
18
Shani kitumbua :
lazima wamlekodi akome
2026-09-11 13:27:51
23
Alhikma bin Nassor :
Mbona kama anakupenda huyo mama
2026-09-11 17:09:02
3
Duka la Wifi,router na fiber :
proud to be...
2026-09-11 17:37:10
1
🇾🇪YemenGhost🇾🇪 :
kwanini mnamrekodi? mshamkamata na ushahidi mnayo basi mpelekeni polisi
2026-09-11 13:20:50
4
Rose🌹pink :
wanaibaje siinatakiwa uangalie msg salio kama limezid
2026-09-11 13:22:43
3
juma issa :
mpeleken polis mnaweza mkapata kesi kwa ivi mnachofanya sio wa kibongo ni mtanzania na nyinyi ni watanzania
2026-09-11 13:55:56
0
usinune 001 :
ni saw ila kumbka kuna mda mwengne unatakiwa ufanye faragha
2026-09-11 17:19:41
1
Saeed Nahdy :
poleni kwa kuibiwa,ila tujitahidi kuwastiri watu na tuwafikishe kwenye vyombo vya usalama ili wahukumiwe kisheria,tukumbuke sio kila mja ni mkamilifu,hapo yupo yeye ila nyumbani kwake anaitwa mama,shangazi au mzazi...
leo yeye kesho je akitokea mwingine kutoka kwenye familia yako utajiskiaje akidhalilishwa kama mnavyo mdalilisha huyo mama.?
mungu awanusuru
2026-09-11 13:41:10
0
Farhat Sharifa :
bora nibakwe kuliko kuiba kuwa mwizi [Big LOL][Big LOL]
2026-09-11 13:53:01
1
Mapunda :
Sasa juba la nn
2026-09-11 19:55:36
2
Hafsa :
Subhanallah
2026-09-11 15:58:57
2
Simon Kdmon :
kwaiyo watu wasijiajili 🤣🤣
2026-09-11 16:40:21
3
suuzziee1 :
hamuez elewa maumivu yakubiwa mpka uibiwe..
2026-09-12 08:20:24
3
Pinky :
Niliibiwa laki 6😳
2026-09-11 17:21:26
1
Baraka :
mnasemaga haki sw kwa wote mbn sasa sie wanaume tunauliwa wanawake wanashikwa wanaachiwa haki apo Iko wapi
2026-09-11 21:03:20
1
haruna :
Kumbe mke wangu mwizi🤣🤣🤣
2026-09-11 13:10:59
3
Nzamilo nfaume :
ggggg🤣🤣
2026-09-11 11:58:26
2
JOHN KINGDOM 👑 :
wale wa proud to be wako wapi
2026-09-11 14:20:52
1
Baghawy :
Naam ilipaswa mumsitiri jamani.
2026-09-11 15:04:06
2
KiNiGA SiMENi :
Msameheni
2026-09-11 12:32:24
2
Malika :
Hii kama sijasahawu niliwahi kuiona mwaka jana. Acheni kuzalilishana.
2026-09-12 17:37:30
0
To see more videos from user @wahenga255, please go to the Tikwm
homepage.