@evodiachambulikazi: Kaka nakwambia tu ukweli wale wanaume madomo zege wanaopendaga kuwakaribia wanawake wanatunukiwa kirahisi sana 😂😂 Point ni hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume

Evodia Westoni Chambulikazi
Evodia Westoni Chambulikazi
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 11:54:27 GMT
91785
4487
201
655

Music

Download

Comments

mr.cliffj
MrCliff J :
mbn wadada hawacomment hp
2026-09-11 18:34:55
5
griffinsomoke2
griffinsomoke 🇰🇪 :
exactly
2026-09-11 18:55:01
0
jobwafula635
killing machine :
I agree
2026-09-12 07:55:31
0
mejjah_bishoo
myyola :
urafiki wa mwanaume na mwanamke upo km kila mtu ana mipaka yake mi nna rafiki yangu kike ni zaidi miaka 17 imepita hadi sasa n km ndugu hadi kwao wazazi wake wananichukulia mwanao. kikubwa ni kuweka mipaka na tamaa isikuzoeeee
2026-09-12 08:20:50
4
lydia.shamilly
Lydia shamilly :
uongo
2026-09-11 20:26:43
2
faswitz
brather f.m.r :
aaaah saw
2026-09-12 06:25:37
1
ibu56561
Ibu 56 :
nimeaoma comment zooote ila cjaona comment ya mdada
2026-09-11 18:47:52
2
elkanakorir426726
Ely de alkaline🇯🇲💚 :
wanapenda kusema ni marafiki tu😂😅😂
2026-09-12 11:47:06
2
usekipako
grace pascal :
Mmmmhh sawa
2026-09-12 09:13:01
2
user7784329954994
SAMSON :
jamn mm natafuta mchumba
2026-09-11 18:03:54
3
benedictor.benedi
Benedictor Benedict :
Dada uko vizuri hii kodi nisahihi
2026-09-11 13:20:13
11
neemaabdon4
Neema Abdon follow me please :
niukwel dada upo saw
2026-09-12 05:05:21
3
farida.ahmed076
Farida Ahmed :
una maua yako ukweli kabisa
2026-09-12 09:06:41
2
magwilolameck
P.classic :
kunakitu nimejifunza daaaa🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
2026-09-11 22:03:54
1
brownish.man
brownish man :
men be aware
2026-09-11 16:53:15
1
user75174102431454
045230 :
hiyo ni kweli dada hata imani yangu inanikataja kuwa kalibu na mwanamke hasiokuwa halali yako
2026-09-12 09:52:19
2
eddy_videographer
Eddy :
mkizoeana sana huwezi kumtongoza mnabaki tu kuwa mabest
2026-09-12 01:35:33
1
3236vicky
WAMUNYOTA Victoire 👍 :
very true
2026-09-11 20:50:06
2
hamzaomarimbwambo
HAMZA MBWAMBO :
Uzuri maneno haya anazungumza mwanamke mwenzao
2026-09-11 15:09:13
16
060diacn
Brilliance 060 :
sio wote
2026-09-11 21:34:44
0
ishrat.salum
Ishrat Salum :
kama simpendi simpendi tu hata anijali vip au awe karibu na mim vipi
2026-09-12 01:01:29
0
user2427462060936
user2427462060936 :
kweli dada
2026-09-11 14:20:04
2
user6036827687176
minja connecton :
na kupa 💐 yako dada
2026-09-12 03:04:42
2
happneskayombo
Chidmah❤️💦 :
kama mungu tu ngoja nimtumie mtu chap hii video mana tumetoka kubishana San Leo
2026-09-12 12:08:06
1
john.ogola6
John Ogola :
2026-09-11 21:31:25
1
To see more videos from user @evodiachambulikazi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About