Nilikuwa najiuliza mbona Chelsea imeanza kufanya vizuri ghafla, kumbe kwasababu jersey imevaliwa na chosen 1😂😂😂😂😂😂
2026-09-11 16:46:37
19
2mah_me_fashion :
Mimi naomba kufaham unajuaje wewe ni chosen one???
2026-09-22 04:28:13
3
Ibrahim :
Tushapigwa na vitu wenine hayo mapenzi twayasikia kwa jirani tu
2026-09-11 13:14:54
4
Chosen One :
Angel number 22 the master number. Hii balaa kwa kweli
2026-09-11 15:22:28
2
Magy Mm² :
sasa sisi ni hamna kufanya mapenz na kuolewa jmn😳
2026-09-11 12:25:27
9
mrs h :
Dad devota me mama yangu ananichukia ht siku ya harus yangu hajaingia ukumbin naumia mpk leo😭sielew
2026-09-15 13:17:45
5
'just call me 'Qn DETACHMENT ' :
celebacy ndio njia nliamua mpaka mungu anipea wa kufanya🙏
2026-09-11 19:52:25
4
philimon nzakahaphilimon@gmail :
Nawezaje kujuwa kusudilangu
2026-09-19 13:37:06
1
BERTHA PHILIPO :
dad devota yan mm nashangaa kila nkipata mwanaume kwenye mahusiano wananinga'ngani
afu kuna uyoo mmoja nkikutana naye tuuu kimwil nauma ata wiki nzima yan sielew ni nn
2026-09-13 14:49:13
1
MATABE 🇹🇿 :
Sasa ukioa
2026-09-11 17:46:35
2
Zainab Ally :
Da Devota hivi inaweza kutokea wakaoana wateule wawili?
2026-09-17 12:21:24
1
Devota JS :
🥰🥰🥰
2026-09-11 12:16:14
1
otmanpiere2 :
mimi nilikuaga sikuelewi ila siku zinavyoenda nnaanza kukuelewa
2026-09-12 18:09:33
1
Ammaey Curry :
nashindwa kuelewa dada ni sababu gani hizo na ni kusudi gani hilo na mwisho wa siku tunakuwa nani baada ya hilo kusudi tuelekeze zaidi,,,,
2026-09-12 05:12:55
3
Monalisa Mushi :
yani ni mimi nikiona ela napagawa nikiipata natumia siku mbili ya tatu sina ata mia😂
2026-09-13 15:03:51
1
DATO :
Asante dada hakika wewe ni chosen one Mwalimu
2026-09-11 21:02:32
2
Deefine Fashion🛍️ :
2026-09-20 11:51:07
1
Chosen One :
Baada ya kuamka tu ndoa yangu imeshavunjika tatizo si lingine, ni kusudi kusudi kusudi. Universe haina mzaha kwa wateule wake. Inakuumiza lakini hakuna namna unaweza kufanya na ukijifanya mjanja hali inakuwa mbaya zaidi
2026-09-11 15:33:10
3
peace :
Naomba muwe mnalike video zangu
2026-09-11 17:29:25
1
Mutahabadiana :
jamani nina mzazi mwenzangu nimeachana nae ni miaka 7 sasa tangu tumeachana mimi nimemchoka ananifwatilia na kunichafua kwa maneno sjui ninfanyeje akyy
2026-09-12 15:58:35
1
prisca :
yote ntashda lkn hilo moja sijui
2026-09-11 19:07:39
1
Manglee :
Dada Devota nakupenda sana kwa darasa unalotoa, Wenginwetu hatujielewi mnoo, tunaishi bila mpango alafu tunajiamini sanaa,🤣🤣
2026-09-11 13:22:26
2
Chosen One :
Mimi baba yangu mpaka anakufa hakupenda niwe Mwalimu lakini kumbe ndio career yangu tena natural kabisa. Dunia inaangalia material lakini universe inaangalia spiritual mission.
2026-09-11 15:35:40
1
moneyowner :
ili kushudi ni gani plz nliexe njue
2026-09-14 23:21:08
1
Arkstone Metal Fabricators Ltd :
Hapo kwenye uraibu ngumu kutoka🥺
2026-09-11 13:41:43
3
To see more videos from user @devotajs, please go to the Tikwm
homepage.