@official_mtiamoyo1: Replying to @mwa3perfume MUSA - Glory anakuomba Umsamehe sana, Anakutumainia, Umhurumie kwa kukudnganya. #tanzania #mtiamoyo #tiktoktanzania #viral #Glory

Official Mtia Moyo
Official Mtia Moyo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 12:41:17 GMT
4779
275
12
7

Music

Download

Comments

user8000422287092
user8000422287092 :
kaka naomba pia mimi yangu moja ya alice nampenda sana
2026-09-11 13:08:41
1
naomiowen747
Naomi wisdom7 :
nifayie moja ya Owen
2026-09-29 22:39:05
0
ramadhanmatogolo2
Ramadhan Matogolo :
kaka naomba uniombe msamaha kwa maglet najua nilimkosea kweli
2026-09-27 19:24:10
0
murgabams
bams :
naomba uni ombeye msamaa kwa Jessica
2026-09-23 20:14:52
0
clodine769
Samson mbayosamson :
𝑛𝑖𝑓𝑎𝑛𝑖𝑧𝑖𝑦𝑒 𝑠𝑎𝑚𝑠𝑜𝑛 𝑎𝑛𝑎𝑙𝑜𝑚𝑏𝑎 𝑐ℎ𝑎𝑟𝑙𝑖𝑛𝑒 𝑢𝑠𝑎𝑚𝑎ℎ 𝑘𝑢𝑎 𝑖𝑦𝑖 𝑚𝑎𝑠𝑒𝑚𝑖
2026-09-25 17:17:28
0
reychiumbo
ray abby :
kaka nitengenee kama hii hii ila jina me naitwa reheme yeye ninae muomba msamaha anaitwa meshack maneno yawe haya haya nimeyapenda sana
2026-09-27 13:01:28
0
rc417402
Rc :
Ujabo mkuu nifayie moja YA kuomba msamaha, Mimi ni Richard naye ni moraa
2026-09-18 17:12:11
0
jprenc.20
Joyc0594 :
kaka niombee msamaha kwa mme wangu anaitwa frank popote alipo please.
2026-09-11 20:00:16
0
agnesmdemeka
Swaiba family tdm :
kaka mukubwa shikamoo 🤝 Naomba unifanyie moja mpenzi wangu anaitwa ANNA yeye Kidogo TU anasema tuachane mpaka Huwa nashindwa elewa kaka kuwa wapi nakosea Nampenda sana me naitwa JOFFREY sitaki ni mpoteze bro
2026-09-15 04:52:25
0
erasmemuthuma
#erasme muthima :
jambokakaangu naoomba unioombeye msamaha kwa la blonte nilimpenda Ila akaamuwa kuniaatsa tukiwanyenye kwamatayaricho yakutambulichana nioombeye usamaha jinalangu erasme
2026-09-20 15:57:46
0
mwa3perfume
it's Tee ✌️🤞 :
asante kakaa🥰🥰
2026-09-12 13:37:22
0
francine53707
Kambahindi Francine :
❤❤❤
2026-09-13 21:21:14
0
To see more videos from user @official_mtiamoyo1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About