@islamicswahilinet: Huzuni Mbili Kubwa Katika Maisha ya Binadamu Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 12:50:04 GMT
30120
5374
2
179

Music

Download

Comments

zaharajuma835
Zahara Juma :
Allah atujalie mwisho mwema 😭😭
2026-09-11 17:24:32
12
user9736083542503
madam :
Allah atupe mwisho mwema yarabb
2026-09-11 14:43:21
9
abubakartwaha972
sa :
allahu mstaani
2026-09-11 13:00:52
4
user5946962749607
user5946962749607 :
mwenyezi mungu atusamehe madhambi yetu atupe mwisho mwema inshallah
2026-09-11 15:49:21
10
fauziamohammed572
urembokona :
husnil khatima yarabi 😭
2026-09-11 16:24:51
2
mejualykichuna
toto la maa :
huu mchango wa msikti jamn niko kenya naweza kutuma vp mnisaidie plz
2026-09-11 17:47:33
4
khadijaoudperfume
khadija Oud :
Ya Allah tustiri na utujalie mwisho mwema 🥺
2026-09-11 20:59:24
0
ibraheem_mchana
Ibrah Hassan Mchana :
@Ibrah Hassan Mchana:HUZUNI HIZO NI: 1. MTU AMBAYE HAJAWAHI INGIA MSIKITINI KUSWALI ISIPOKUWA SIKU ALIYOBEBWA KWA JENEZA NA KUPELEKWA MSIKITINI KUSWALIWA 2. MWANAMKE AMBAYE HAJAWAHI KUJISTIRI MPAKA SIKU ALIPOVIKWA SANDA/SIKU ALIPOKUTWA NA MAUTI *ALLAH ATUHIFADHI NDUGU ZANGU WAISLAMU
2026-09-11 17:22:05
2
abdhaallahishaq0001
💘ISAAC 🥀WOIE🌹 :
INSHAALLAH WA TA'ALA ALLAH SWT ATUJALIE MWISHO MWEMA
2026-09-11 20:21:37
0
hawayusuph5
nunu^officiel :
Allah tujarie mwisho mwema yarabi
2026-09-11 17:05:44
1
fatuma.wanjiku3
Fatuma Wanjiku :
Allah akujalie mwisho mwema
2026-09-11 19:56:59
0
yassinkefea
yassinkefea :
mungu waongoe dada zangu kwenye kundi namb2
2026-09-11 20:02:37
0
husseinsuleiman128
Kei,brand Kihitu1 :
waislam takbrii%%
2026-09-11 19:34:36
0
abdully007
عبدالرحيم فاضلي :
YARRAB YARRAB YARRAB tunakuomba utujaalie UMAT MUHAMMAD tuwe miongoni mwa WAJA wako WEMA na atujaalie MWISHO MWEMA 😭😭... allahumah amyin 🤲
2026-09-11 20:35:57
0
hoilyboss2
Höîly Bôss :
Allah atujalie mwisho mwema
2026-09-11 19:05:18
0
mwanaishamohamma8
mwanaishamohamma8 :
𝑠𝑢𝑏ℎ𝑎𝑛𝑎𝑙𝑙𝑎ℎ
2026-09-11 19:32:15
0
user937391134
rahma 99 :
Subhannaallah 🥺
2026-09-11 18:00:54
0
fanni.boy7
[fanni /boy] :
allah akulipe kheriiy mwalim somo zurii🤲
2026-09-11 18:05:28
0
user4347258181745
user4347258181745 :
Allah Akbar
2026-09-11 18:33:39
0
mrs.yunusu
Mrs yunusu💞💦 :
😰😰Mungu tujalie mwisho mwema
2026-09-11 18:51:14
0
sahu32112
sahu beauty salon👯 :
Kila nafsi itaonja umaut😢 yarabbi tujaalie mwisho mwema 🤲 inshaallah
2026-09-11 17:29:21
1
user9252442468759
Issa mdathiru :
Allah tujaalie mwisho mwema 🤲
2026-09-11 18:22:56
0
mahadhi_39
Scott_39 :
Subhanallah
2026-09-11 15:00:37
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About