@ukerewe0: 🌴 Ukerewe yetu, uzuri usiohitaji maelezo! ❤️🌊 Kisiwa cha mandhari, utamaduni na watu wenye upendo. Karibu Ukerewe, nyumbani penye utalii wa asili. 🏝️✨ #Ukerewe #Nansio #Mwanza #UtaliiTanzania #KisiwaChaUkerewe
UKEREWE🇹🇿
Region: TZ
Friday 11 September 2026 12:52:20 GMT
Music
Download
Comments
Alsour :
na kupiga show ukweni kuna raha kweli
2026-09-12 12:59:56
3
loycenicolao119 :
mmhh hizo new best line HOVYO....
2026-09-12 07:17:50
1
💘💘dolyine 💘💘 :
ila kwer[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-11 17:07:45
2
KALOLO49 :
respect💯💯
2026-09-12 09:18:58
0
Adamnice Ngonyani :
Live kabsaaaaaa
2026-09-12 18:08:55
0
seleman Maunga :
Nothing to xay...
2026-09-11 20:03:19
1
LOVENESS🥰 :
kwann mme wangu asilale kwetu nikama kwao tuu
2026-09-11 14:24:30
2
UKEREWE FINEST :
Umetisha Sana
2026-09-11 21:01:58
2
mamy jenny :
wangu alilala nikimwambia cyo vizul ananikasilikia yan Aibu naona mimi
2026-09-12 04:58:10
2
Nico :
Mimi nalala na mashine nagonga usiku kama kawaida
2026-09-12 12:57:53
2
user4265312935694 :
ndomana inabidi wajenge nyumba ili wapate pa kufikia
2026-09-12 09:39:18
1
RV 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
ila kama vile kwel
2026-09-11 17:42:22
1
herman ndemba :
kwann kiongozi
2026-09-11 17:55:49
1
Robert Mzizima :
mi nalala tuu we nae usinichanganye apa
2026-09-12 12:13:44
1
mihama the great :
mbn kama umeongea ukweli
2026-09-11 15:31:26
0
Generally chumaa :
livee kabisa mkuu
2026-09-11 18:07:17
1
Mrutu :
Uhakikaaa 💯✅
2026-09-12 18:03:32
0
Simbeye 97 :
humo humo!!
2026-09-12 18:58:44
0
MCHEPUKO COMEDY :
si wengine tumejenga ukweni na tunaishi kama kwetu mzeee
2026-09-12 17:37:08
0
Josephjacksonkambo Kambo :
ukweni kigoma
2026-09-12 18:44:32
0
user5415429261015 :
Hahaaaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣 kwann nisilale???
2026-09-12 18:35:46
0
ngosha jasusi :
😂🤣😂 ongeza sauti hawajakusikia
2026-09-12 23:09:52
0
Puttin :
Mimi nikifika kwa wakwe zangu hawakubali niondoke,nawapenda sana,na wansnipenda!
2026-09-12 18:50:36
0
chimoo :
uhakika
2026-09-12 17:51:31
0
To see more videos from user @ukerewe0, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.