@clickmaster_1: HIVI WATU WA KUN’G FU WANAKATAGA MAUNO??? 😂😂😂 #Mwizi part 1 #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fyp #foryou @KONAA @annix.q @macdee @D.BOY

Click Master
Click Master
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 13:13:56 GMT
87092
12931
351
98

Music

Download

Comments

sadiokanoute35
ally de v :
nilijua baad ya kuibiwa baskel utatoa ngoma ya mwizi😁
2026-09-11 13:27:17
135
user3161268242602
Melvin :
mungu akujalie maisha yenye furaha na aman akuepuxhe na waby
2026-09-11 13:26:37
64
ninolee96
🦋rahma Dee ☺️❤️ :
😂😂😂ndo tunaona kwako
2026-09-11 13:19:04
14
mrotipii
Mr OTP :
😂😂😂😂 tuliojua baada ya kuibiwa baiskeli atatoa ngoma ya mwizi,tugonge like hapa👍
2026-09-11 13:54:28
38
rody.voice
vivanny boy :
ila wedogo msumbufu ko tayali ushatengeneza idear
2026-09-11 13:19:51
28
chado8517
Chado-key :
click master wewe ni noma kbs
2026-09-11 20:17:15
0
mis_hilda1
Mis_hilda :
utafika mbali bro pambana
2026-09-11 13:50:07
5
julitharaphael373
Elle M :
l adore you bro 🥰
2026-09-11 19:21:13
0
sharks_melanin
sharks🪂 :
keep going my favourite upcoming for me,more vibes more creativity🔥🔥🔥🔥
2026-09-11 16:21:13
0
joynes974
joynes974 :
Aaiiiiiiiiboooooooo🔥🔥❤
2026-09-11 21:02:01
0
lil.jigga1
JORDAN BANKS🔵 :
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.🤣🤣🤣
2026-09-11 16:55:51
9
azzobad1
🔥azzobad🎙📷 :
wameniibia mpenzi Berkeley sikunayo
2026-09-11 13:18:16
9
mariam.mhina29
Maria🍎 :
mbona umeludia melody ya nilipe deni tena jamn
2026-09-11 20:14:14
0
nelsonnickson250gmail.co
+255🇹🇿 🇹🇿 :
ambushhhhhhh
2026-09-11 19:59:28
0
user9928068619399
sony 😁 :
tupoze KIDOGO kaka ... Bado tupo Kwa MSHAMBA unatuletea MWIZI
2026-09-11 15:12:39
4
user90978148351741
baraka BM boy :
daah uyole umehaso kaka enjoy maisha
2026-09-11 17:32:44
3
yonbreezy2
YON ĎÈ BREEZY 💫🌟 :
saaaf nmeikubal hyoo mwizii ujumbe umemfkii sema ungemtaja na jnaa kama mfano
2026-09-11 13:30:54
5
eriki.boniface.eb
Eriki Boniface (EBF) :
namba 1 ni mm leo🤣🤣🤣
2026-09-11 13:21:06
5
user2469150774200
Alexander..19 :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
2026-09-11 20:24:14
0
ibraah_brand6
Ibraah_brand :
siunge sema mwizi wabaisker kak
2026-09-11 19:09:18
3
divdora1
Divdora🧢 :
Kumbe sio Click Master tu na Master Kung Fu 😂😂
2026-09-11 15:15:44
3
winger211
winger tz :
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.
2026-09-11 20:51:14
1
user9926010314775
ano b :
noma xan 😄😄
2026-09-11 13:19:56
1
nyavilwe.mfumbulw5
Nyavilwe Mfumbulwa :
wew jamaa niatari naomba namba yako ninazawadi yako mm piya kwetu mbeya kwa sasa nipo apa mjini dar
2026-09-11 13:20:04
2
__ic3.daddyyy__
ICEEY🧊👑 :
Dah we kila tukio ukipigwa ni nyimbo😂
2026-09-11 13:33:31
2
To see more videos from user @clickmaster_1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About